Sio siri tena,now ipo waazi,mamaa wa majanga snura mushi,kamtambulisha rasmi yule anaemvua kufuli lake...huyu jamaa ni vdj hunter wa "maisha club mbeya" haya wale wa vijichooo ;)
Habari za siku wana jamvi?Natumai mu-wazima. NAOMBA NIONGELEE TABIA YA MABINTI ZETU JUU YA UVAAJI WAO HASA PALE WANAPOKUWA MBALI NA WAZAZI WAO,KWA KWELI INATIA HULUMA SANA KWANI WENGI WAO...
Habari wanajamvi jana tulikuwa kwenye story za kawaida ila kwenye cm yake akawa anachart huku akicheka mwishoe akaona atushirikishe hiyo mes ya kwanza kuingia kwenye cm ikisema hivi: Kaka flani...
Wadada wengi, hata waliookoka, wana tabia ya kuchagua wachumba au wenzi wa maisha kwa kutazama hali ya maisha ya wakati huo ya kijana husika.
Akina kaka wengi wameambulia matusi, au hapana za...
Namastee!
Wanaume wafanyakazi wana mengi rohoni. Kazi zenyewe hizi za watu kuganga njaa tu, mradi utoke asubuhi umeoga tu, ukweli tunaujua wenyewe maofisini. Huku nje sasa full kujistiri ile...
Habari zenu, jamani nahitaji kujua juu ya suala hili. Hivi ni kwani wasichana wengi huwa wanajiingiza ktk mahusiano ya kimapenzi wakiwa na umri mdogo? Na je, ni kwanini baadhi ya wavulana pia...
Nadiriki kumuita ivyo cos mm Kama mwanaume hainiingii akilini vitendo alivyokua anafanya,alianzisha mausiano na Dada binamu wangu ambae tayari alikua na mchmba na ivi sasa anamume wake!mumealali...
Wadau niwasalim,
Kwanza naonba nikiri kwa sasa JF na haswa mmu imekua ni sehem muhimu kiushauri kwangu binafsi.. tukiacha wale ambao mara zote wana-comment pumba kuna watu muhimu sana umu na wana...
Hii kitu inanisumbua akili kweli, sijui ni ugonjwa, yaani kama week sasa kila nikipiga goli machozi yananitoka. Kama ya jana ndio ilikua kali kabisa nililia mpaka demu akaogopa akaanza...
Kwenye mitandao ya kijamii kila uchao kuna mavituko. Hawa walioko kwenye mitandao ya kijamii wanatoka hukuhuku mitaani tunakoishi
Lakini wanayoyasema huku mitandaoni hayapo kabisa huko mitaani...
jaman nina miaka 30 cha ajabu hata cjui kumtongoza mwanamke. maana nimechoka kutongozewa! naomba kwa anayejua hako kaujuzi kakutongoza anifundishe toka mwanzo unapomkuta mwanamke unaanzaje mpaka...
Uanachama katika chama cha wanandoa unaelekea kunishinda.
Mama watoto ananikosesha kwa jeuri na kutaka tuachane Kila wakati.
Naomba kupata uzoefu kwa mlioachana na ndoa
1. Ni nini...
WanaJF habari za asubuhi!
Mimi ni miongoni mwa wafuasi wa ile imani kuwa mapenzi si pesa, na hapa naweka 1 ya mashairi maarufu sana, kwa waliosoma A level English language na hasa Paper II ama...
Jamani wana MMU habari zenu,
Waungwana naomba ushauri wenu kwani mimi nimetokewa kupendwa na dada mmoja ambae anasomea nursing na atakua anahitimu mwezi wa sita na amekuwa akiambia anataka...
Marvin Gaye and Anna Gordy
Speaking of the Gordys, in an interesting example of cougarism in black history, Marvin Gaye was married to Berry Gordy's older sister Anna Gordy when she was 42 and...
Aweki password kwenye simu yake, yupo huru kumwambia mke wake. Mke wangu mzuri pokea simu hiyo.
Anafurahia kuwa na muda na mke wake na kupanga maendeleo
Ampigi mke wake, anamfanyia massages na...
....MCHEPUKO wa wenzako
Kuna hili tangazo la baki njia kuu acha na michepuko anaonekana kibonde a.k.a Kibs
akiwaasa wana NDOA kuucha kutembea NJE ya NDOA zao...mandhari NZIMA ya tangazo lile ni...
Mwenzenu nina kitu fulani, sifahamu kama ni tatizo ama laa!! hili ni jambo linalopelekea mpaka huwa nashidwa kutongoza sehemu ya wazi. Kama barabarani, kwenye bus, kwa ujumla ni sehemu zenye...