Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wadau! fahamuni haya ninyi mnaoyatafuta mapenzi. Usifuate mkumbo,kuwa fulani ana mpenzi mie sina,hivyo ntafanya kila njia ili nami niwe naye. Hapa mtakua mnafanya makosa.Kabla ya...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari zenu Hivi ni kwa nini mnapopiga picha zenu huwa mnageuka nyuma yaani mnaonesha mgongo badala ya mbele kama ilivozoeleka?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Askari wa jadi maarufu kama sungusungu wa mtaa wa Mwatulole kata ya Kalangalala mjini hapa wanadaiwa kumdhalilisha na kumfanya ukatili mwanamke mmoja kwa kumkamata na kumcharaza viboko kwa...
0 Reactions
49 Replies
12K Views
Habari za saa hizi, Kuna kitu kimenijia leo katika fikra zangu kwanini ni vigumu sana kwa mwanaume kuomba samahani,wengine hata wajue makosa ni yao hawakiri wakaomba samahani.Nakosa majibu...
1 Reactions
51 Replies
4K Views
Kuna kamsemo nimekutana nacho leo asubuhi kanasema mwanamke pesa maua waachie nyuki ebu na wewe weka msemo wako tuone
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wandugu za miaka, Nimerejea katika jukwaa hili baada ya kukaa mbali kwa muda nikifanya utafiti namna ya kumfanya mwanamke atulizane katika uhusiano. Niseme wazi tu muda mrefu nimekuwa nikisoma...
14 Reactions
158 Replies
31K Views
Girls who play games; No make-up; Curvy women; Wearing their clothes Nice Laughing; Girls who can cook; The Colour Red; White Cotton Underwear
5 Reactions
62 Replies
6K Views
Namasteeeee! Kuna ile dhana ya kijana jitunze usikurupukie mamb, jipange, utajutia baadae. tulia dada/kaka hadi baadae. basi unakuta mtu tight a.ss, no man/woman is good enough for them, they are...
24 Reactions
219 Replies
18K Views
Habari zenu wana MMU., Mapenzi ya siku hizi yamebadilika sana tofauti na zamani ambapo siku izi kupotezeana kuko njenje tu wala hakuhitaji gharama yoyote ile,hivyo napenda kushea na nyinyi ni...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ndivyo ilivyo siku zote, kupenda sio kazi, kazi ipo kuendeleza upendo udumu kwa yule umpendaye, kabla ya kupenda ni bora kutathimini gharama zote zisizo epukika katika kupenda/mapenzi, wengi wetu...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kumbe Alex Kajumulo ni mwanzilishi wa taasisi ya kupigania haki za mashoga Afrika! Huyu hawezi kanyaga Uganda.. Sasa sijui na yeye ni mmojawao? Ingia kwenye linki hapo chini uone.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Za tangu jana wadau, Baada ya kufukuzwa kazi jana na mke wangu kunishauri kwenda kwa Mganga wa kienyeji ilinibidi nifanye hivyo kwani nafaham fika nisingekuja kupata kazi tena kama ilivyokuwa...
6 Reactions
105 Replies
18K Views
Wanawake wa siku hizi ni hatari tupu. Jana nimenuniwa mwenzenu. Kisa eti alikuwa busy na sikumsaidia.Cha kushangaza ni kuwa kulikuwa na shughuli mbili; 1. Kuosha sufuria 3, sahani 2, bakuli 1...
1 Reactions
174 Replies
10K Views
Ni mrembo wa haja mwenye shepu tamanifu anapendelea kujivinjari mikocheni, kinondoni sinza na mbezi hajakaa kama changu ila shida yake ni moja ukiondoka naye kwenda kufanya dhambi...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
kuna mambo yanayoondoa "mudi" !!! siku zote sio jumapili aisee
0 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Closed
Mnamo siku ya Jumatatu historia iliwekwa katika kanisa la Our Lady huko Presidio Francisco jimboni California nchini Marekani. Mtu mmoja aitwaye Paul Horner pichani mwenye umri wa miaka 35 akiwa...
1 Reactions
549 Replies
72K Views
Sikuizi Bwana Kuna Vimsemo Vya Malavidavi Au Mapenzi Vimeibuka Na Kushika Kasi,ni Rahisi Kusikia Kijana Eti Anasema MAHABA NIUE, MAHABA NIPIGE SHOTI NITETEMEKE Je Wewe Ushasikia Misemo Gani Ya...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
1. Build trust 2. Be honest 3. Be faithful 4. Be considerate 5. Respect each other 6. Become best friends 7. Be proud of one another 8. Be there for one another 9. Bear each other's burden 10...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu wana jf, hapa napenda kuwashirikisha njia za kutoa vitambi kabisa/kutopata kitambi. unaweza fanya mojawapo au zaidi kati ya haya 1.Uwe na mikopo zaidi ya mmoja katika benki tofauti...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…