Kulikoni baba paroko?

Kulikoni baba paroko?

Harvest

Member
Joined
Jan 3, 2013
Posts
55
Reaction score
31
  • user-offline.png
    Eiyer

    Yesterday 20:30
    #264
    Banned Array


    Join Date : 17th April 2011
    Location : Mwanza
    Posts : 18,757
    Rep Power : 0
    Likes Received8274
    Likes Given10270




Katika pitapita zangu nimekutana na hii kitu

Nimestuka kidogo baada ya kuona baba psroko amelambwa BAN

Jamani parokia itaendaje bila paroko?

Haya wana parokia poleni!
 
Chezea BAN ww haijui cha baba paroko wala nani huko parokiani c kuna wasaidizi au???
 
Hahahaha nimekumbuka hiiii naleta mashitaka kwakoo baba paroko .nini tena kimekukumba
 
Back
Top Bottom