Sometimes mambo mengine yanashangaza sana, dada yangu anafanya biashara na dada flani kitambo tu na tunafahamiana vizuri, mwanzoni alikuwa ananiita kaka ila siku hizi ananiita Shem hii ni baada ya...
Nina bahati sana ya kuwapata warembo wa mitandaoni lakini tatizo wananila sana pesa ninazowatumia via tigo pesa. Wakizipata tu mawasiliano yanakatwa na anayekuja huwa anakuja na mwenzie halafu...
Wasukuma weupe wenye jinsia ya kiume ni magwiji wa utapeli hapa mjini Dar Es Salaam.
Kabla ya kufanya dili na Msukuma mweupe hakikisha unachukua kila tahadhari ili usitapeliwe
Mjomba aliitikia shikamoo yangu huku akinitumbulia macho. Nilihisi kuna zaidi ya tatizo, haikuwa kawaida yake kuniangalia kwa macho ya vile.
Nilijiuliza kama nina kosa nitakimbilia wapi maana...
Eddy ameamua kuondoka nyumbani kwa wazazi wake na kwenda kupanga, kwa bahati nzuri anapata chumba katika nyumba moja yenye vyumba sita maeneo ya Mwananyamala kwa Kopa.
Nyumba hiyo imekaa...
Habari za muda huu wanajamii wenzangu....bila ya shaka, kwa neema za Mungu sote tu wazima wa afya......wenye maradhi Mungu awanyooshee mkono wa baraka......
Ni wazi wengi wetu tunaishi kwenye...
Naandika kwa masikitiko makubwa! Wote ni wa ID ya zamani.
Wa KWANZA, Tulikuwa wapinzani lakini alinifwata PM. Ni kama MAXSHIMBA amfwate Faiza Foxy.
( Hivi MAXSHIMBA yuko hai jamani? Ana sauti...
Uchumi unabana kweli pia hawa kina Dada nao wamezidi tamaa ukitaka kuenjoy kwa mapenzi tuu inaweza kukucost si chini ya laki na nusu kwa day ...inashangaza maana hii ni starehe na isitoshe raha...
EMMANUEL Muhuge Magende, mkazi wa Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam anasimulia kisa alichowahi kukumbana nacho miaka mitatu (2010) nyuma baada ya kugongwa na gari dogo akiwa
anavuka...
Hamjambo?
Jamani mimi nina shida. Hapa nimeachwa na bae nina kama wiki mbili hivi. Kisa cha kuachwa ni cha kawaida sana. Uzuri tunaongea kwa simu ingawa mara ya kwanza aliniblock ila sijui nini...
Je unaona noma kununua condom? Je unaona noma kuopoa mtoto wa viwanja?,
Je unaona sio fea Kulipia huduma?
BBC inatiririka kama ifuatavyo
Je ungependelea kushiriki ngono na roboti? ungefunga...
Heshima zenu wakuu!!!
Jamani kama kuna watu ambao siwaelewi ni hawa wanaoendekeza michepuko.
Utakuta mwanaume ana ndoa halali lakini huwachukua binti aliyeko single na kumpangishia kisha...
Mara nyingi nimesikia watu wakijitetea kuwa yule nimemuacha kwa sababu kitandani hajui kitu. Jamani ujuzi wa kitandani unawezaje kuuona kwa macho? Utamaliza wangapi kwa kigezo hawawezi shughuli za...
Habari zenu wana JF,
Kuna jambo nimeli observe kwa muda hapa JamiiForums nimeona wadada (zaidi ya 75%) wanaotafuta wachumba wa kiume, wadada hawa ni graduates kwanini hili lijajitokeza?
Kwamba...
Naomba kuwaulizeni hili swali kwani nimekuwa nikijiuliza sana na naona nachanganyikiwa tu kwani sijapata jawabu mujarab kabisa.
Hivi ule muda ambao Wapenzi wawili mnapokuwa Kitandani tayari...
Nimekupenda with all my heart regardless hali duni yako.Nimekataa nusra kibao kwa ajili yako.Sikua mchoyo kwa chochote changu tulishirikiana,leo umeamua kufunga mwaka na mimi.Najua unanisoma hapa...
Wakuu,
Nimekuwa nikijiuliza hivi mashoga wana mvuto gani kwa wanawake na kina dada/vibinti vya College? Manake kwa tathmini ndogo tu saluni ya kike inayohudumiwa na mashoga ndiyo inayopata...
Ni jambo limenishangaza kifupi sina tabia ya kumfuatilia mpenzi wangu iwe kwenye simu au kwenye mambo mengi but hii ilinibidi tuu.
Wakati mpenzi wangu alipokuja kwangu weekend hii na kushinda...
Ni jambo limenishangaza kifupi sina tabia ya kumfuatilia mpenzi wangu iwe kwenye simu au kwenye mambo mengi but hii ilinibidi tuu.
Wakati mchumba wangu alipokuja kwangu weekend hii na kushinda...