Tupa kule madada poa,hii hapa solution yetu,inaitwa maroboti

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,722
Reaction score
21,959
Je unaona noma kununua condom? Je unaona noma kuopoa mtoto wa viwanja?,
Je unaona sio fea Kulipia huduma?

BBC inatiririka kama ifuatavyo

Je ungependelea kushiriki ngono na roboti? ungefunga ndoa na roboti? na Je roboti anaweza kuwa na haki ya kupinga ndoa hiyo?

Haya ni baadhi ya maswala machache yanayoulizwa katika mkutano wa pili wa kuwa na mpenzi wa roboti mbali na kushiriki naye ngono katika chuo kikuu cha Goldsmith mjini London baada ya serikali ya Malaysia ambayo ndio iliokuwa taifa la maandalizi ya mkutano huo kuupiga marufuku.

Hatua hiyo imezua utata sio tu kwa mataifa yenye maoni ya Kihafidhina .

Hakukuwepo na wawakilishi kutoka kwa sekta ya ngono wala roboti za ngono katika mkutano huo.

Image captionNi watu wachache walioweza kusema kuwa roboti Pepe alikuwa na maumbile ya kuvutiai
Kampuni ya Real Dolls inayotengeza wanaserere wa ngono ilidai kwamba itatengeza roboti wa ngono aliye na akili bandia mwaka ujao.

Uzinduzi huo iwapo utafanyika utakuwa ushahidi wa David Levy ambaye amekuwa akitabiri ujio wa roboti zinazofanana na binadamu zenye akili bandia.

Alitoa hotuba ya kufunga mkutano huo ambapo alipendekeza utengezaji wa roboti za ngono.

''Tuna roboti za urafiki na sasa roboti ambaye anaweza kuwa mpenzi ndio mtindo mpya''.

Image captionKwa wengine kushiriki ngono na roboti ni ndoto yao lakini kwa wengine ni uharibifu mkubwa
Katika kipindi cha miaka 10 ijayo, inawezakana kutengeza roboti ambayo watu wataihitaji kama mpenzi, ina upendo, inaaminika, inaheshima na hailalamiki alisema.

Wengi watapendelea uhusiano huo wa roboti na huenda wakataka kufunga ndoa nao.

Mpango huo wa mpenzi wa aina ya roboti huenda akazua maswali kadhaa ya kimaadili, hususana wakati ambapo sheria italazimika kutambua roboti kama binaadamu.
 
Hatari....Kwahiyo huyo Roboti naye atakuwa na Papuchi moto au baridi,yenye maji au kavu,ndefu au fupi,nene au nyembamba,iliyotuna ama kukauka..??...Vipi watakuwa na Chura au flat.??....Na je nitaweza kubadilisha sura ninayotaka na sauti..?? Mfano nikimtaka rihanna ama kim kardashian na-switch tu...JE HILO LITAWEZEKANA..????
 
ivi tatizo ni shetani au binadamu.....nahis siku za usoni shetani atainua mikono maana binadam anataka kumshinda ujanja
 
Dunia simama nishuke mie!!!

Kama ni wajanja watengeneze inayobeba mimba kama hatutaandamana
 
Linapokuja suala la ngono binadamu hana mbadala.
 
Roboti zipo kitambo watu wanachongesha midoli ya wadada wanaowataman na kuweka ndan. Siku una mdate jamaa unakuta copy yako ndan hapo utakua umejifumania
 
Sasa hiyo robot kama mumekumbatiana afu ipate shot kwenye mfumo wake wa umeme mafundi mpaka waje kukutoa kijasho kimekutoka
 
Tango na ndizi vimetumika sana afrika kama maroboti ya ngono.
 
Hakiiii sawaaaaa
Naomba yawepo na ya kiume tafadhali ni hilo tu.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya original na feki(copy) ,natural na artificial. #
 
Je unaona noma kununua condom? Je unaona noma kuopoa mtoto wa viwanja?,
Je unaona sio fea Kulipia huduma?

BBC inatiririka kama ifuatavyo

Je ungependelea kushiriki ngono na roboti? ungefunga ndoa na roboti? na Je roboti anaweza kuwa na haki ya kupinga ndoa hiyo?

Haya ni baadhi ya maswala machache yanayoulizwa katika mkutano wa pili wa kuwa na mpenzi wa roboti mbali na kushiriki naye ngono katika chuo kikuu cha Goldsmith mjini London baada ya serikali ya Malaysia ambayo ndio iliokuwa taifa la maandalizi ya mkutano huo kuupiga marufuku.

Hatua hiyo imezua utata sio tu kwa mataifa yenye maoni ya Kihafidhina .

Hakukuwepo na wawakilishi kutoka kwa sekta ya ngono wala roboti za ngono katika mkutano huo.

Image captionNi watu wachache walioweza kusema kuwa roboti Pepe alikuwa na maumbile ya kuvutiai
Kampuni ya Real Dolls inayotengeza wanaserere wa ngono ilidai kwamba itatengeza roboti wa ngono aliye na akili bandia mwaka ujao.

Uzinduzi huo iwapo utafanyika utakuwa ushahidi wa David Levy ambaye amekuwa akitabiri ujio wa roboti zinazofanana na binadamu zenye akili bandia.

Alitoa hotuba ya kufunga mkutano huo ambapo alipendekeza utengezaji wa roboti za ngono.

''Tuna roboti za urafiki na sasa roboti ambaye anaweza kuwa mpenzi ndio mtindo mpya''.

Image captionKwa wengine kushiriki ngono na roboti ni ndoto yao lakini kwa wengine ni uharibifu mkubwa
Katika kipindi cha miaka 10 ijayo, inawezakana kutengeza roboti ambayo watu wataihitaji kama mpenzi, ina upendo, inaaminika, inaheshima na hailalamiki alisema.

Wengi watapendelea uhusiano huo wa roboti na huenda wakataka kufunga ndoa nao.

Mpango huo wa mpenzi wa aina ya roboti huenda akazua maswali kadhaa ya kimaadili, hususana wakati ambapo sheria italazimika kutambua roboti kama binaadamu.
Chaiii
 
Back
Top Bottom