Jamani Mapenzi kitu cha ajabu.
Ila Watu nao wapo wa ajabu vilevile.
Fikiria;
Ni muda sasa mmekuwa mnatongozana,
Baada ya sitaki nataka nyiingi mwishoe Mtoto wa kike anakupa ile 'No...
Yaani nimetoa twenty thousand na meneja hakunieleza kama ukiingia asubuhi mwisho saa sita.
Mara mlango unagongwa, nikashtuka nikajua watu wa shigongo nini? mara ya pili uligongwa kwa nguvu...
Wana MMU naomba michango yenu katika kumchambua huyu jamaa aliyewakilisha hisia za baadhi yetu katika mapenzi.
Je leo hii ukipenda kwa mtindo huu hautaonekana umepewa Limbwata, au ukaitwa Zombie...
Hii nimeikuta sehemu...waswahili wanasema kizuri kula na wenzio...
Kwa wale tulio katika chama hiki (ndoa) naomba tupitie hope tutajifunza walau theluthi hata wale waliokua bado hawajiunga na...
Your Girlfriend wants u to meet her family, when u got there...
The older sister is ur Ex girlfriend.
The younger brother is the man you were fighting with at a club over a random woman.
The...
Someone I know amepata mimba,sasa kuna mkaka alikuwa anampenda sana huyo dada, ivi sasa navoandika yuko busy anambembeleza huyo dada amsingizie na kukomaa kuwa mimba ni yake amuoe ivoivo#mahabaniue#
Habari zenu.
Sasa yule shemeji wenu wa fb baada ya kumuimbisha kwa sanaa si ameshaingia line. Na apointimenti yetu ni the coming sunday akitokea mkoani.
Sasa bahati mbaya amepiga mahesabu yake...
Habari zenu wana Love Connect,
Before niliwahi kuituma hii reguest kwenye page ya MMU hapa JF lakin sikufanikiwa, Ni hivi... Mimi ni kijana wa kiume nna umri wa miaka 32,naishi hapa Dar na...
Habar za jion kwa kila mmoja.! Naomba nieleweke hivi hii ilikuwa ndoto niliyoota usiku mmoja lakin naona kuna baadhi ya matokeo yananijia. Ilikuwa hivi: nikiwa ktk usingiz nilimuota dada mmoja...
Tabia ya msichana/mwanamke,siku ya kwanza mnakutana kwa maongezi,anafika eneo la tukio,lakini anakuwa busy na kuchati,yaani hata mistari unayomshushia inakatikakatika!badilikeni bhana,tabia hiyo...
Siku ya ndoa yao.
Mwanamke mmoja (Adriana Ford-Thompson) ambaye ni graduate wa Chuo Kikuu cha Cambridge na lecturer katika Chuo Kikuu cha York nchini Uingereza amemtetea mumewe mbakaji kwa...
Kuna ishara tofauti zinazoweza kuonekana kama mwenza wako muaminifu
YUPO MUWAZI:Mwenza wako akiwa muwazi(kama kitabu) na mkweli ni ishara kubwa kwamba ni muaminifu.Yupo huru na tayari kuongelea...
How are you great thinkers?
Miaka miwili iliopita niliwrong namba,akapokea msichana fulani,alidai ni mwenyeji wa arusha,kwa hiyo nikagundua nilikosea namba,
After sometimes nilihisi kuridhika...
WanaMMU.
Nadhani mko poa kabisa, nimekuwa suprised tangu huu mwaka umeanza huwa natengeneza tu ila kwenye umaliziaji imekuwa tatizo! Sielewi shida ni nini?
Ushauri wenu tafadhali'
Nimesomea uhasibu majuzi nimekutana na rafiki yangu ambaye anafanya kazi NGO kama mhasibu akaniambia yy anataka kuacha kazi may coz amepata kazi sehemu nyingine kwahyo kama nataka niende...