Nisingizie basi iwe yangu.

Nisingizie basi iwe yangu.

symwo

Senior Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
152
Reaction score
49
Someone I know amepata mimba,sasa kuna mkaka alikuwa anampenda sana huyo dada, ivi sasa navoandika yuko busy anambembeleza huyo dada amsingizie na kukomaa kuwa mimba ni yake amuoe ivoivo#mahabaniue#
 
itakuwa ana matatizo ya akili wallah
 
Someone I know amepata mimba,sasa kuna mkaka alikuwa anampenda sana huyo dada, ivi sasa navoandika yuko busy anambembeleza huyo dada amsingizie na kukomaa kuwa mimba ni yake amuoe ivoivo#mahabaniue#

kama anafanana na avatar yako hiyo hata mimi ningemwambia nisingizie yangu!
 
Dah!!... ndo mana siku zote nasema watu tupo tofauti sana.
 
ningekuwa mm ndo huyo mdada ningefuraije kupendwa hivyo!
 
Toto likizaliwa shombe shombe na wao wote ni black si aibu sasa
 
Kuna wakati mapenzi yanaweza kutufanya akili zetu zikawa kama za chizi
 
Someone I know amepata mimba,sasa kuna mkaka alikuwa anampenda sana huyo dada, ivi sasa navoandika yuko busy anambembeleza huyo dada amsingizie na kukomaa kuwa mimba ni yake amuoe ivoivo#mahabaniue#

Huyo mkaka anajijua kuwa ni mgonjwa hawezi kutoa mbegu yaani risasi zake haziui na sasa analilia mtoto wa kusingiziwa
 
Back
Top Bottom