Nisaidien ufumbuz wa hili

Nisaidien ufumbuz wa hili

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,286
Reaction score
13,460
Habar za jion kwa kila mmoja.! Naomba nieleweke hivi hii ilikuwa ndoto niliyoota usiku mmoja lakin naona kuna baadhi ya matokeo yananijia. Ilikuwa hivi: nikiwa ktk usingiz nilimuota dada mmoja ambaye alikuwa gf wangu sku za nyuma japo kwasasa sijui anakoishi. Ktk hyo ndoto huyu dada alikuwa amejinyonga huku akiacha ujumbe unaonilaumu mm kuwa ndiye niliyesababisha kujinyonga kwake. Nilipoona ule ujumbe gafla nikaingiwa na hofu na nikaona watu wanataka kunikamata na kunipeleka polisi sasa mm nijiona mkosaji na sina namna ya kuukwepa mkono wa sheria. Basi wakat huo nataka kukamatwa nilikuwa nmeshika bunduki nikaamua kujipiga risasi kichwan ili niukwepe mkono wa sheria nikaona mwili unaishiwa nguvu na nikaanguka chini, nikawa naskia sauti za watu kwa mbali zikilia ile natapatapa chini nikajikuta nashtuka kutoka usingizn. Ukweli mwili mzima ulikuwa unatetemeka nikakurupuka kitandan kutaka kukimbia lakn ikabidi nitulize akili kwanza. Baada ya hapo nikaanza kuskia maumivu ya kichwa. Kiliniuma mpaka asubuhi, mpaka sasa hvi napata maumivu ya kichwa japo mara chache na napatwa na mfadhaiko wa gafla na hasira huku nikiwaza kujipiga risasi.. SIMILIKI BUNDUKI ILA NAKUWA NA BUNDUKI YA KAZIN. Naomben ushaur wa haya maono
 
Mtafute huyo mwanamke, inawezekana anatatizo na unaweza kumsaidia (inawezekana sio la uhusiano wa mapenzi)
 
Aisee pole nakushauri uende kwa kiongozi wako wa dini atakupa ushauri
 
Fanya vitu vinavyokufanya uondokane na mfadhaiko.

Mrudie muumba wako kwa sala na maombi.

Jaribu kukaa na marafiki muda mwingi hadi hali yako itakapokuwa sawa ili kuepuka kujidhuru na silaha yeyote.

Kama umeajiriwa jaribu kuchapa kazi ili usahau yote
 
Nahisi hiyo ndoto haina tofauti na ndoto nyingine mbaya..nadhani kinachokupa hofu ni kile kilichofuatia baada ya ndoto-kuumwa kwa kichwa mara kwa mara. Unapaswa kuwa na hofu ikiwa tu hiyo ndoto inajirudia kila mara.
 
Back
Top Bottom