Hizi Nyumba nyingine za wageni bana....

Hizi Nyumba nyingine za wageni bana....

benteke

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
1,305
Reaction score
1,069
Yaani nimetoa twenty thousand na meneja hakunieleza kama ukiingia asubuhi mwisho saa sita.

Mara mlango unagongwa, nikashtuka nikajua watu wa shigongo nini? mara ya pili uligongwa kwa nguvu zaidi, "fungua" mda umeisha,.

Aya! nikafungua kidogo huku nachungulia, meneja anarudia kwa hasira "kaka mda umeisha" nikamwambia mbona hukuniambia mkuu, basi ntakuongeza pesa, aaah wapi, meneja kakomalia anasema tuondoke maana tayari vyumba vyote vimesha chukuliwa kuanzia saa sita.

Nikasema liwalo na liwe,mshara wenyewe ndio mpaka tarehe 31,ntapata wapi tena pesa ingine, maana hata raisi alisema tuchezee mishara sio kazi.

Nikarudi zangu ndani, nikafunga makomeo yote ya juu na ya chini, nikaongezea na kochi juu.

Walipiga kelele zote, wakanikatia umeme, yaani nimetoka leo asubui.

Na raha nimekula usiku kucha.

Ila njaa ndio ingetuua aisee.

Hatukula toka jana asubuhi.
 
Yaani nimetoa twenty thousand na meneja hakunieleza kama ukiingia asubuhi mwisho saa sita. Mara mlango unagongwa, nikashtuka nikajua watu wa shigongo nini? mara ya pili uligongwa kwa nguvu zaidi, "fungua" mda umeisha,. Aya! nikafungua kidogo huku nachungulia, meneja anarudia kwa hasira "kaka mda umeisha" nikamwambia mbona hukuniambia mkuu, basi ntakuongeza pesa, aaah wapi, meneja kakomalia anasema tuondoke maana tayari vyumba vyote vimesha chukuliwa kuanzia saa sita. Nikasema liwalo na liwe,mshara wenyewe ndio mpaka tarehe 31,ntapata wapi tena pesa ingine, maana hata raisi alisema tuchezee mishara sio kazi. nikarudi zangu ndani, nikafunga makomeo yote ya juu na ya chini, nikaongezea na kochi juu. Walipiga kelele zote, wakanikatia umeme, yaani nimetoka leo asubui. Na raha nimekula usiku kucha. Ila njaa ndio ingetuua aisee.Hatukula toka jana asubui.
Nimeshakukamata, kumbe ulikuwa na mchepuko
 
Ok kumbe jana umezinzika basi sawa ila Mkuu ulikumbuka zana????? mana usije kutuanzishia thread nyingine yakuomba ushauri ila hongera kwa kula raha usiku kucha.
 
Na ile mvua we acha tu, nilikua natupia hart trick za kufa mtu. Zana muimu.
 
Yaani nimetoa twenty thousand na meneja hakunieleza kama ukiingia asubuhi mwisho saa sita.

Mara mlango unagongwa, nikashtuka nikajua watu wa shigongo nini? mara ya pili uligongwa kwa nguvu zaidi, "fungua" mda umeisha,.

Aya! nikafungua kidogo huku nachungulia, meneja anarudia kwa hasira "kaka mda umeisha" nikamwambia mbona hukuniambia mkuu, basi ntakuongeza pesa, aaah wapi, meneja kakomalia anasema tuondoke maana tayari vyumba vyote vimesha chukuliwa kuanzia saa sita.

Nikasema liwalo na liwe,mshara wenyewe ndio mpaka tarehe 31,ntapata wapi tena pesa ingine, maana hata raisi alisema tuchezee mishara sio kazi.

Nikarudi zangu ndani, nikafunga makomeo yote ya juu na ya chini, nikaongezea na kochi juu.

Walipiga kelele zote, wakanikatia umeme, yaani nimetoka leo asubui.

Na raha nimekula usiku kucha.

Ila njaa ndio ingetuua aisee.

Hatukula toka jana asubuhi.

Mzee hiyo sinza nini??
 
Hahah,,mkuu gesti gani hiyo? Na uliingia asubuh ya saa ngap mpk wakutoe dima saa 6,,doh!
 
Ungejitutumua tu nawewe ukahama hapo, umejiaibisha mbele ya beibii
hadi unaanza purukushani za kubeba makochi
hamu haikuisha kweli?

hahahaha sipati picha miguno huku mwapigiwa hodi fungueni fungueni hata kupanda mlima ni shiiiiida
 
Yaani unavyoshabikia utafikiri ni kitu kizuri sana ulikua unakeshea.
 
"Mwanangu" ,Nakusikitikia, umebalee kipindi kibaya sana,ukicheza, "UTAKUFA" .By. Baba yangu Mzazi,

naona ushauri wa baba mzazi haukufua dafu kwako..........

ila mkuu umeruka vihunzi vingi , hongera sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom