Kaondoka siku tatu sasa zimepita. Simu hapokei wala hajibu sms, kaenda Kigamboni kwa rafiki yake.
Nimeongea na rafiki yake anasema mke wangu kaenda kubadilisha upepo.
Hbr ya usiku wadau....
Unampia simu mchepuko wa mpenzi wako then caller tune inakua " .... kuchapiwa ni siri ya ndani...." hapo utafanyaje , una ahirisha mazungumzo au unampigia ili km ni noma na...
Haka kabinti nimekapenda kwa kweli.
Kamenikumbusha Kisura wangu wakati akiwa na umri kama wa haka kabinti (3-4) alipoanza mafunzo ya kucheza muziki kwenye dance academy.
Kila siku unaonyeshwa...
Ndugu wana jamii natumaini mnaendelea vyema. Mimi ni mwanaume niliyetokea kupendwa sana na wanawake wawili ila mmoja sikuwa nampenda sana ingawa yeye alinipenda mno.
Kutokana na hilo nilimkatalia...
Habari humu ndani.
Wanaume nisaidieni jamani na wadada pia, maana nakuwa kama sielewi elewi. Hivi mnapoamua kuoa au kuingia kwenye mahusiano na mwanamke mnaemchagua mwenyewe mpaka ndoa huwa...
Poleni na majukumu waungwana, kuna jambo linamtatiza mwenzetu nimeona ni busara nililete kwenu kwakuwa hapa ni uwanja mpana pasipo shaka atapata ufumbuzi na mwenzi wake. Hii ni familia ya...
Habari wana mmu,
Nina rafiki yangu mpendwa katika Bwana,alikuwa na mpenzi wake aliempenda sana kuliko maelezo na kwa bahati mbaya hivi sasa wameachana,na kisa cha...
Everyone has their off days, but why cause more negativity you can avoid it? If you work on thinking positively about yourself and others, you will be that much closer to being your happiest self...
Nipo ofisini,
Nawasikiliza staff wenzangu mmoja analalamika mwanamke anapenda pesa yule yani kila nikiongeanae yeye anaomba pesa tu, juzi kaniomba laki 3 eti anataka kupeleka gari service ata ya...
Kuna binti au nimuite mpenz wangu alishawahi kuniita kibaka, stori ni hivi; kabla hatujawa wapenzi katika harakati za kumtaka nikapata namba yake kutoka kwa watu wake wa karibu.
Nikampigia...
NINA MSHUKURU MUNGU SANA KWA KUFIKA MIAKA KAZAA
ILA NINA MAFUA SANA MPAKA NAHIS HOMA
Kiranga niitie Mzizimkavu
nahitaji nipone haraka niombeeni
mambo yangu hayaendi maana mimi ndo...
wana jf hasa akina dada naomba nijuzwe kwanini baada ya kujifungua mnaacha matiti hadharani wakati wa kunyonyesha. Ni vigumu kuona titi la mtu huyo huyo kabla ya kujifungua. Hata mnapokwenda...
Vuta picha ,upo mtaani pamoja na wife, kunakitu unafanya so wife katangulia hatua chache mbele, mara kaka anatokea anaanza kumuimbisha kwa sauti za kuhuni huku akimkejeli kwakuwa wife hataki...
Nina mpnz ambae tumedumu nae kwa miaka miwili sasa ila hatujawahi ku-do kabisa, wakati tunaanza mahusiano yetu tulikubaliana hatufanyi mpaka ndoa ambayo tumepanga tufunge this year, which is the...
Wana MMU hivi kwanini wanawake wa kiafrika wanatamani kuwa wa kizungu?
Kwanini wanaweka nywele bandia ,kuzifuga zao wanashindwa?
Wanajichubua wawe weupe ,je watakuwa wazungu?
Nguo za kubana...
Habari za humu ndani wapendwa?
Kila siku kuna mtu namsalimia hivi.
Habari yako?
Yeye hunijibu yakuhusu nini?
Sijui huyu mtu ana kisa na mimi au hata wengine humu mlishawai kuwaona watu kama...
Siku moja bwana nilikuwa nipo out na familia yangu tupo zetu beach. Katoto kangu kanapenda sana maji and he wouldn't sit still mpaka aingie ndani ya maji. So nikamvisha kichupi akawa anachezea...
Kwanini tuingie gharama za bure kuwagaramia wanawake?
Kwanini tufikie hatua ya kupoteza mipango ya maisha kisa mwanamke?
Sasa nasema rasmi tuachane na mambo ya kutafuta au kujihusisha...