Adorable, lovely little girl...

Adorable, lovely little girl...

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,514
Reaction score
146,038
Haka kabinti nimekapenda kwa kweli.

Kamenikumbusha Kisura wangu wakati akiwa na umri kama wa haka kabinti (3-4) alipoanza mafunzo ya kucheza muziki kwenye dance academy.

Kila siku unaonyeshwa moves mpya halafu anajitia kukufundisha. Sasa yeye yuko limber zaidi yangu mzee mzima acha niwe nachemsha.

Baadaye nami nikaja kumfundisha kiduku. She picked it up real quick!

Little girls are hella fun.

Haya mwoneni Heaven akijimwayamwaya na mama'ke na 'Happy'....ile ngoma Pharell.

Last edited by a moderator:
sipati picha..baba na mwana wanacheza kiduku..lol

Hapo sasa unikute mi nimetinga kanzu yangu ya Dubei (read: Dubai), kibaraghashia, na makobazi yangu huku yeye kanyuka ki-deraa chake nilichomnunulia nikiwa Doha....

Hafu ngoma inayopigwa iwe 'Mama ntilie'..ile ya AT akiwashirikisha Ray C na Gelly wa Rhymes.....

Tukimaliza hafu usiende kununua panado tutakushangaa!!
 
Little girl mcute kweli!!!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hapo sasa unikute mi nimetinga kanzu yangu ya Dubei (read: Dubai), kibaraghashia, na makobazi yangu huku yeye kanyuka ki-deraa chake nilichomnunulia nikiwa Doha....

Hafu ngoma inayopigwa iwe 'Mama ntilie'..ile ya AT akiwashirikisha Ray C na Gelly wa Rhymes.....

Tukimaliza hafu usiende kununua panado tutakushangaa!!

Hahahaaaa..... Nimecheka saana..!
 
Hapo sasa unikute mi nimetinga kanzu yangu ya Dubei (read: Dubai), kibaraghashia, na makobazi yangu huku yeye kanyuka ki-deraa chake nilichomnunulia nikiwa Doha....

Hafu ngoma inayopigwa iwe 'Mama ntilie'..ile ya AT akiwashirikisha Ray C na Gelly wa Rhymes.....

Tukimaliza hafu usiende kununua panado tutakushangaa!!

Doha airport duty free? Airport so wide..too big..
 
baba na mwana kiduku dansi..hiyo itakua kali ya mwaka lol
Hapo sasa unikute mi
nimetinga kanzu yangu ya Dubei (read: Dubai), kibaraghashia, na makobazi
yangu huku yeye kanyuka ki-deraa chake nilichomnunulia nikiwa Doha....

Hafu ngoma inayopigwa iwe 'Mama ntilie'..ile ya AT akiwashirikisha Ray C
na Gelly wa Rhymes.....

Back
Top Bottom