Hivi ni vema kumjibu mtu hivi

Hivi ni vema kumjibu mtu hivi

Alvin Slain

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
6,375
Reaction score
3,669
Habari za humu ndani wapendwa?

Kila siku kuna mtu namsalimia hivi.
Habari yako?
Yeye hunijibu yakuhusu nini?
Sijui huyu mtu ana kisa na mimi au hata wengine humu mlishawai kuwaona watu kama hawa?
 
Anayekujibu hivyo ni mtu unayefahamiana naye. Mtu wa hivi hivi unayekutana naye barabarani hawezi kukujibu hivyo.
 
^^
Jitazame, Kagua mazingira, siku zote mambo hayako kama yanavyoonekana
^^
 
Apolinary ulishapona moyo wako? Mbona hukuleta feedback...
 
Me nilimuuliza mtu inakuaje akanijibu Bila kumwagiliwa. Ilibidi niwempole
 
Mganga wako kakuambia bila ya kumsalimia mambo yatagoma???!!!!
 
Tatizo una complicate vitu vidogo vidogo kama hivi
lazma uumwe...kama anakukera ku msalimie ni lazma kwani?

Kweli kusalimia sio lazima lakini siwezi kumuona mtu nnaemfaham nikanyamaza...
 
Back
Top Bottom