SOKONI
Senior Member
- May 23, 2013
- 171
- 40
Vuta picha ,upo mtaani pamoja na wife, kunakitu unafanya so wife katangulia hatua chache mbele, mara kaka anatokea anaanza kumuimbisha kwa sauti za kuhuni huku akimkejeli kwakuwa wife hataki kurespond. Kila kitu unashuhudia jamaa ukimuangalia unamashaka kama unammudu incase ukilianzisha. Utafanyaje?
La pili uko zako kwenye foleni unadrive mke wako pembeni, wife mzuri sana mijamaa kwenye magari inamuangalia kwa mahaba mazito na yeye
anatabasamu, daah utafanyaje?
La pili uko zako kwenye foleni unadrive mke wako pembeni, wife mzuri sana mijamaa kwenye magari inamuangalia kwa mahaba mazito na yeye
anatabasamu, daah utafanyaje?