Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Namasteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Nimetoka kidogo, nimekuja kwa sultani huku kutafuta maisha na kujaribu bahati yangu, huenda nikaopoa oil magnate mie! Halooooooooo! Kantangazeeeeee...
0 Reactions
261 Replies
20K Views
Wakuu habari! Najitokeza hapa kutafuta mchumba wa kike ambaye yupo serious tu, awe kanda ya ziwa, akiwa Mwanza itapendeza sana, awe Mwalimu au Nurse, akiwa mwalimu itapendeza zaidi, awe na umri...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
mambo vp wanajamvi, nina best angu ameniletea kisa chake kipo kama ifuatavyo, huyu jamaa yangu alimwaproch mdada mwisho wa siku wakapanga mdada aende geto kwa jamaa yangu, siku ikafika mdada...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Usifikiri umeingia hapa upate faraja.....achana na mambo ya kuishi kwenye ndoto anza kuchukua hatua ya kumsaka unaemtaka. Mi kama kazi zinavyotafuta amka hapo ulipo kwenye benchi la mawazo na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Majuzi hapa Maofisa mbalimbali wa serikali walikuwa katika semina yao jijini Mwanza, mara baada ya semina hiyo muda wa mapumziko ya kupata vinywaji na chakula ndipo nilipowasikia wakibadilishana...
5 Reactions
71 Replies
13K Views
Namsteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Kuna bwelegeje moja nilivokuwa A level alikuwa anakomalia anioe, afu chuo anisomeshe yeye, bi mkubwa wangu sumuuuu! Alkuwa anafanya tours, mchovu mchovu tu...
8 Reactions
83 Replies
16K Views
Wasalaam wana mmu....wazee wetu mooni... Leo nimeamua kuleta kwenu aina za wanaume/wababa/vijana ambao wanafanya yafuatayo... i) Wa kwanza ni wale ambao unakuta ni mwalimu kwenye shule fulani...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
pesa sabuni ya roho! pesa ni maua! nani kasema pesa haiwezi kununua furaha! mwenye pesa si mwenzio, mwanaume mwenye pesa hata awe vipi warembo watamfanya ajisikie kama mfalme! mwanaume mwenye pesa...
1 Reactions
60 Replies
9K Views
Habari wadau. Nimeona Thread nyingi tu watu wanalalamikia vibamia vyao. Leo nimeona nitoe ushuhuda wangu jinsi nilivyoweza kukuza uume wangu. Ni miaka mingi iliyopita nilivochaguliwa kujiunga na...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 28, sijawai kuoa wala sina mtoto. Nina urefu wa 5.4' and 60kgs, nakunywa pombe ila sivuti sigara. Nimtafutaye: 1. Awe amepevuka akili kwa maana kwamba...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wanawake ni hatari sana maana wana joto kali sana kuliko wanaume kiasi kwamba hata kama mvua imenyesha ni rahisi sana mwanamke kumuondolea mwanaume joto wakilala pamoja kwa kukumbatiana hata kama...
0 Reactions
77 Replies
9K Views
Wasalaam wana mmu... Bas wadau mi msichana akiwa mweupe loooh hoiii...hua nawaza kama uson au mikoni ni meupe kiac icho je panapofichwa!!! Hii imeniathiri kiasi cha kunifanya niwe na list ya...
1 Reactions
217 Replies
17K Views
kwa utafiti mdogo nimebaini kwamba kwa asilimia kubwa wanawake wakiwatongoza wanaume huwa wanafakiwa. Hii maana yake ni kwamba ni wanaume wachache sana wanaweza kumkatalia mwanamke akimtaka...
0 Reactions
45 Replies
8K Views
Mara nyingi tumeona, tumeshuhudia au yametutokea sisi wenyewe, kuwa na mahusiano ya kimapenzi halafu mambo yako mengi yakanyooka na kuwa super au ikawa ni mikosi mwanzo mwisho. Huwa tunawasifia...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Kuna malalamiko mengi yanatoka kwa wananume wenye wake au wapenzi wao ambao wanajua kuendesha magari kwamba wamekuwa kiguu na njia. Jana nikiwa sehemu fulani, nikiwa na jamaa fulani tukawa...
0 Reactions
102 Replies
11K Views
Habarin za jumapili waungwana. Natumain wote ni wazima wa afya. Naomba nishauriwe kuhusu hili. Ninampenzi wangu ninampenda sana na yeye ananipenda, imefikia hatua ya kunitaka nipeleke barua kwao...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
NUMBER COLLECTORS Hawa ni machali kazi yao ni kuomba namba kwa madem tu... phone book zao zimejaa namba za madem... huwa hawacal.. ni kutext tu. Na huwa wanasave majina depending na place...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Mchumba wa rafiki yangu anatembea na jamaa tunayefanya naye kaz ofisi moja. Ni binti niliyetambulishwa na rafiki yangu miaka 2 iliyopita tukiwa chuoni. Yeye akiwa masomoni chuo kikuu...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
hjgjhg
1 Reactions
103 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…