TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 11,204
- 30,784
kwa utafiti mdogo nimebaini kwamba kwa asilimia kubwa wanawake wakiwatongoza wanaume huwa wanafakiwa.
Hii maana yake ni kwamba ni wanaume wachache sana wanaweza kumkatalia mwanamke akimtaka kimapenzi.
Sababu kubwa inayoweza kumfanya mwanamme akatae akitongozwa na mwanamke ni kutoridhika na mwonekano wa mwanamke tena kwa kigezo kwamba watu wanamwona mwanamke huyo ni mbaya.
Tofauti na hiyo labda awe na uhakika mwanamke ameshaungua na UKIMWI.
Mimi nimeona hasa kwa watu wangu wangu wa karibu.