Single and lonely? come plaese and be comforted here!

The Only Kilo

JF-Expert Member
Jul 16, 2010
355
0
Usifikiri umeingia hapa upate faraja.....achana na mambo ya kuishi kwenye ndoto anza kuchukua hatua ya kumsaka unaemtaka. Mi kama kazi zinavyotafuta amka hapo ulipo kwenye benchi la mawazo na msongi wa moyoni na unde ukamshike mkono mpenzi wako umlete kwenye benchi la furaha na uchangamfu wa mahusiano. Acha kuwa na mahusiano na watu wa kudhania, umri uanaenda wakati unapita....unaemoona hafai ndio kaletwa muwe familia. wee endelea kujiona unastahili mtu flani kama malaika toka juu mbinguni au malikia.
.... mkubali aliyekupenda kwa kua hata wewe una madhaifu tena mengi tu huyajui tu. kwa wanaume acha kuwachezea wasichana na kuwachaa tafuta wa kuwa nae mjenge maisha ya kizazi chenu. kwa wanawake achani tamaa ya pesa., mwisho wa siku pesa utakua nazo na mapenzi ya kweli utayaskia kama taarifa ya habari tu kwenye redio.


Angalizo: Wanaume wa kuoa wamezidi kupungua sana kadri siku zinavyosogea na wanawake wa nao wametekwa sana na vitu vya kuonekana kuliko mapenzi ya dhati na kusababisha ugumu kuanzisha familia zenye misingi imara

Mwisho kabisa kama hujafanikwaiwa kumpata mwenza wako wa moyoni comment chanzo cha wewe kuwa mpweke na mkosefu wa mpenzi wako hapo chini upate upate mwenza hapa hapa kwa kucomment post yake au kum pm utakae ridhishwa na sababu zake

Natoa kama mfano: mimi sjafanikiwa kumpata mwenza kwa sababu nilikuwa busy na masomo
mimi sikupata mwenza kwa sababu sijamuona wa tabia zangu
mimi sjafanikiwa kumpata mwenza kwa sababu nilikuwa nje ya nchi n.k
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom