Kunya Anye kuku akinya bata kaharisha! msaada tupewe wanawake tu! kutoa issue!

Kunya Anye kuku akinya bata kaharisha! msaada tupewe wanawake tu! kutoa issue!

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
15,700
Reaction score
29,210
Namasteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Nimetoka kidogo, nimekuja kwa sultani huku kutafuta maisha na kujaribu bahati yangu, huenda nikaopoa oil magnate mie! Halooooooooo! Kantangazeeeeee! Hamtokunywa maji humu jamvini, Nimekutana na shosti yangu wa kitambo anakaa huku huku kwa sultani na mumewe, hajatia timu bongo mwaka wa 7 huu na aliondoka mdogo si masikhara!

Huyu bibie alisomeshwa na bf, yasikitisha ila ndo mkufunzi wa get rich or die trying! Rise above the hood philosophy! Sasa baada ya kusoma mpaka form 4 huyo bwana akamfanyia mpango akaja kuishi huku Oman pia akaendelea kumsomesha mpaka chuo kamaliza! Wameishi 7 years kazaa mtoto 1.

Sasa yule bwana hakusoma wala nini, na bibie saivi anafanya kwa wazungu na ni mtu wa bigger picture siku zote! Sie Muscut tunaisoma ramani uzee huu, wakati yeye mbichiii kaja kusaka maisha huku kwa warabu wenyewe!

Anataka amkimbie huyu bwana huku! Anavomuona kafikia climax ya maisha keshakuwa stagnant, hawezi kutoka zaidi ya hapo n hafanyijitihada za kutoka! Karidhika in short! Yeye shoti yangu bado kuridhika ni fghter vibaya mno!

Sasa kuna mungu kamfanyia mpango pande za Us kampuni hio hio, kama anataka aende, na yeye keshachoka mambo ya watu wa sultan, anataka akajaribu maisha na kule nako! Ila sasa huyu lazy bill hajawahi kkosea kitu kikubwa, na culture ya waarabu anampenda kweli na kumheshimu mpaka baaaasi! Aakuwa guilt kiasi flani! Ila mambo ya kumlea mwanaume amechoka! Wanaume anachuklia poa coz alivokuja Muscut miaka 5 alimsapoti bibie bila kazi, na shule juu akawa hataki ateseke kwa warabu kurun errands! Anaona ni maisha, aapuia kazi kwa muda.

Ila na umri unatutupa mkono, she has to act fast kujipata maisha anayotaka! Call me selfish nimemwambia aende Us akjaribu bahati, ila amuage tu mumewe na kumwambi mambo yakiwa mazuri atamfata waungane! Watu wote waamwambia kwamwanamke alipo panatosha! Aache tamaaa! Aaaaaaah! Wapi! Mwanamke ilikuwa zamani, sku hizi maisha kwanza.

Mwaonaje nyie!
 
Hao wazungu wenyewe wanakimbilia hayo ma nchi yenye mafuta. Hapo sasa!

Aache tamaa za kijinga, ang'ang'ane hapo hapo mpaka kieleweke. Ana chance kubwa ya kujiendeleza hapo hapo, nini kinachomzuwia?

"Usitupe mbachao kwa msala upitao".
 
Aende na mumewe Us,ndo katika shida na raha zenyewe hizo.
Mwanaume sidhani kama atakubali, sababu ktoka bongo, huku Oman anaona kafika ni blaaaaaa! Na Us itabidi atangulie kupima upepo, afu mwanaume hana shule so kwenda us lazima aone uzushi!
 
Hao wazungu wenyewe wanakimbilia hayo ma nchi yenye mafuta. Hapo sasa!

Aache tamaa za kijinga, ang'ang'ane hapo hapo mpaka kieleweke. Ana chance kubwa ya kujiendeleza hapo hapo, nini kinachomzuwia?

"Usitupe mbachao kwa msala upitao".
Kinachomzuia huku kwa culture ya huku mwanamke kuna nafasi hashiki, sio kwamba hawezi ila haitokubalika, afu uwe mwanamke negro ndo balaaa! Ndo maana kazini hakui ki carrier ipasavyo! Na yule mzungu kamuona yuko perculiar up stairs ndo maana kamfanyia issue US akapatw international eperience kwenye cv, afu akirudi nchi yoyote ya kiarabu tapewa senior position.
 
Afanye maamuzi mazito
Akajaribu Us ikishindikana basi ila rohon atakuwa na aman kuwa amejaribu akashindwa
Maisha yenyew hayana formula
Fursa kama ipo afanye
The higher the risk...the higher return
 
Walifunga ndoa au walifakamiana tu. Yesu akirudi wanawake wachache sana watapewa lift.
Itakuwa walioana manake bibie kaslimu, swala tano nimemkuta huku wakti alikuwa ntu wa madebe mpaka kuchweeee! Mumewe nae muislam swafiii sidhani kama wanaishi suria! Swma watu wanaoishi nje ya bongo hueda walifunga harusi kibingwa tu fasta fasta kukamilisha taratibu afu basi sio kma bongo kantangazeeee mwazo mwisho!
 
Afanye maamuzi mazito
Akajaribu Us ikishindikana basi ila rohon atakuwa na aman kuwa amejaribu akashindwa
Maisha yenyew hayana formula
Fursa kama ipo afanye
The higher the risk...the higher return

Umeonaaaaaa! Mtu mweyewe anategemewa kwao bongo, aende tu! Ndoa zinaishaga hizi! Mara unaambiwa naoa mke mdogo!

Ila ukiwa na career yako akhaaaaa! Unawwza bahatika usiachike au hata ukiachika bado vyuo unavyo vya kutosha tu!
 
Aende tu jaman but ahakikishe amani ndani ya nyumba ipo ila ingependeza zaidi kama angeenda na mume wake.
 
Mwanaume sidhani kama atakubali, sababu ktoka bongo, huku Oman anaona kafika ni blaaaaaa! Na Us itabidi atangulie kupima upepo, afu mwanaume hana shule so kwenda us lazima aone uzushi!

anachotaka kufanya sio kitu cha kibinadamu hata kidogo, nadhani kama asingekuwa huyo mwanaume ye angekuwa ana haha huku mtaani, iweje amuone mumewe hajasoma sasa? Si kama anaona hivo amshawishi aingie skuli tu shule haina mwisho mbona?! Kuliko kufanya unyama wa kumuacha mtu aliye msaport kufika hapo!
 
Real Women, Women of substance are becoming fewer each day.

They are being replaced by these cold hearted lustful and naive little monkeys who think life revolves around the axis of material gains earned by whoring.
 
Umeonaaaaaa! Mtu mweyewe anategemewa kwao bongo, aende tu! Ndoa zinaishaga hizi! Mara unaambiwa naoa mke mdogo!

Ila ukiwa na carrier yako akhaaaaa! Unawwza bahatika usiachike au hata ukiachika bado vyuo unavyo vya kutosha tu!

Ndoa kipind hicho siku hizi maandishi tuu
Akizikamata jamaa hawez kumletea nyodo ati kwann iliniacha ukaja mwenyewe nyoooooo fasta atapanda zake ndege kumfuata US na atamwona bonge LA jasiri

Mwambie awaze pesa zaid
 
ndoa kipind hicho siku hizi maandishi tuu
akizikamata jamaa hawez kumletea nyodo ati kwann iliniacha ukaja mwenyewe nyoooooo fasta atapanda zake ndege kumfuata us na atamwona bonge la jasiri

mwambie awaze pesa zaid

kumbe ndo mnavo danganyana aisee!
 
Real Women, Women of substance are becoming fewer each day.

They are being replaced by these cold hearted lustful and naive little monkeys who think life revolves around the axis of material gains earned by whoring.
Mtajijuuuuu! So akienda kufanya kazi Us ndo kada ku ----- eeeenheee??. Aaaaah! Wapi! Dunia ya leo sio ya jana ukizubaaa watu wanafanya mambo! Alivoenda huko arbuni watu walisem hivo hivo mtoto mdogo unamfat bwana nje, yatakushinda, alivotoka kimaisha watu kimyaaaa! Walitaka akae bongo bila issue achine! Negativity haiishi asilani!
 
Aende tu jaman but ahakikishe amani ndani ya nyumba ipo ila ingependeza zaidi kama angeenda na mume wake.
Us anaenda kuanza mojaaaa! Aishi kwa msela wetu kwanza ndo atfute pango lake! Mzungu kamfanyia mpango wa kazi tu baaasi! Ila mambo ya kusafiri, passport sijui nini vyote juu yake! Lzima ajipange kwanza anake saa zingine unaona tke home kubwa kumbe cost nazo balaaa!
 
Back
Top Bottom