Siku uanaume unapotea kabisa unakuta dume zima linaendeshwe kwenye ndoa kama gari bovu.
kila kitu mpaka mwanamke aseme au mpaka ukamuulize mkeo hata kumkopesha rafiki yako hela unaenda kumuuliza...
habari zenu wana mmu
mimi nina tatizo sijajua ni wivu au kitu gani naombeni msaada hii ni story ya ukweli...
mimi nina shemeji yenu nampenda saaana na yeye ananipenda sana. sasa tatizo ni kwamba...
aman kwenu wana Jf, naulia ile stori ya huyo jamaa tajwa hapo juu iliishiaga wap?,niliisoma nadhan niliishia sehem E,aliyo nayo au yeye mwenyewe anitumie hapa niimalizie irumba8@gmail.com
Kuna rumors nyingi zinaenea na mengi yanasemwa kuhusu uhusiano kati ya kitambi na huwezo wa
kupiga game 6*6. Wengi wadad kwa wakaka wamekuwa wakiamini kuwa man mwenye kitambi basi kwenye game ni...
1. Natakiwa kuamka asubuhi sana,
2. Sijisikii vizuri,
3.Tunaweza kufanya baadaye ,sweet;
4.Nimelewa sana
5.Nina kazi ya kufanya,
6.nimefanya kazi hadi muda wa ziada,
7.Kichwa kinaniuma...
one day mrs juma was given an promise by her boyfriend(remember mrs juma is already married) the promise given was "I'LL COME SOON AFTER YOUR HUSBAND LEAVE" will be continue
Nina mpenzi wangu wa muda kidogo, anachonishangaza kila tukionana anataka kusex na tunaonana kila baada ya wiki moja,nikikataa ananuna ,ananifungia nisiondoke kwake.
Sasa cha ajabu hata nikiwa...
Habarini marafiki
UKURASA MPYA:
HIVI NI KWANINI WANAUME WANAWEWESEKA?
Mada hii nimeleta kama swali fulani ambalo marafiki tutajadili na kulitafutia ufumbuzi tatizo hili ambalo limekuwa...
Habari zenu Wana JF ,
Mimi ni kijana wa kiume, kwa muda sasa nimekuwa nikitafuta rafiki wa kike ambaye hapo baadae atakuwa mwenza wangu!
Ninachoumia ni kwamba sifanikiwi pamoja na...
Habari ya mapumziko ya weekend wanajamii,siyo mbaya tukishirikishana hili linaweza kupunguza michepuko ili njia kuu ibaki kuwa salama,turudi katika maada.
Kabla hamjaoana, wewe na mwenzi wako...
Mature love facts
1. Mature love knows that real "love does not happen over-night. (at least few months)
2. It is not based on feelings alone, but on a decision to love.
3. Mature love comes with...
Jamani wasichana wenzangu punguzeni kusachi na kuwaibia wenzi wenu hela kwenye wallet na mifuko ya suruali!
Shost angu ananiomba ushauri nawakati kalikoroga mwenyewe hata cha kumshauri nimekosa...
Ndugu zangu hata sijui nianzie wapi maana only God knows how I feel right now.
Na waliosema siku njema huonekana asubuhi hawakukosea maana siku nzima ya leo sijui ndo niseme jana nimeshinda na...