Wanaume hawa wanatingisha nini?

Wanaume hawa wanatingisha nini?

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,048
Reaction score
13,495
Natoka zangu peramiho narudi town,kwenye hii coaster unapigwa wimbo wa taarabu.

Mwimbaji anaimba 'tingisha bodii,eh tingisha wezere'

Sasa Nauliza wale wanaume wanaoenda kwnye taarabu concerts,ukipigwa huo wimbo huwa nanyi mnatingisha nini?
 
Hivi kumbe huku MMU ndio mnaongeaga vitu vya aina hii????
 
Hivi kumbe huku MMU ndio mnaongeaga vitu vya aina hii????

MMU zamani 2010 enzi za ma greater thinker. Sasa viuwa vijeshi lowest thinke wamevamia na kwa makusudi kabisa wameamua kujamba humu na hawataki poo!!
 
Hivi kumbe huku MMU ndio mnaongeaga vitu vya aina hii????

Na wewe huwa unatingisha wezere?

MMU tunajenga familia na mahusiano bora.

Wanaume wanaotingsha wezere ,hujenga mahusiano bora?
.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom