Haya ni mapenzi au limbwata.

Haya ni mapenzi au limbwata.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,865
Siku uanaume unapotea kabisa unakuta dume zima linaendeshwe kwenye ndoa kama gari bovu.

kila kitu mpaka mwanamke aseme au mpaka ukamuulize mkeo hata kumkopesha rafiki yako hela unaenda kumuuliza mkeo au kumtumia mamako hela huko kijijini unamuuliza mkeo yaani pesa utafute wewe matumizi upangiwe na mkeo, wanaume siku hizi tumezidi uzezeta ndo maana tunajenga kwanza ukweni, kile kizazi chenye misamamo ya kiume kinazidi kupotea.
 
Kujenga kwenu ni maendeleo ila kujenga ukweni ni heshima.
 
Tulia uandile bila hasira, seems Una point nzuri lakini uandishi wa hasira unakupoteza.
 
mapenzi ni kusikikizana na mke ni msaidizi kila kinachofanyika lazima ashirikishwe hata kama rafiki anataka mkopo unataka mume atoe kimya kimya marafiki wenyewe hawa wa kikulacho kesho na kesho kutwa akikukana utakosa hata bega la kulilia kama mkeo hukumwambia
 
Siku uanaume unapotea kabisa unakuta dume zima linaendeshwe kwenye ndoa kama gari bovu.
kila kitu mpaka mwanamke aseme au mpaka ukamuulize mkeo hata kumkopesha rafiki yako hela unaenda kumuuliza mkeo au kumtumia mamako hela huko kijijini unamuuliza mkeo yaani pesa utafute wewe matumizi upangiwe na mkeo, wanaume siku hizi tumezidi uzezeta ndo maana tunajenga kwanza ukweni, kile kizazi chenye misamamo ya kiume kinazidi kupotea.

Kul down Mkuu soon na ww utakuwa ivyo aahh ahhh tena natamani nikuone na mshahara wako atachukua mkeo ofisini mpka overtym unaleta
 
Siku uanaume unapotea kabisa unakuta dume zima linaendeshwe kwenye ndoa kama gari bovu.
kila kitu mpaka mwanamke aseme au mpaka ukamuulize mkeo hata kumkopesha rafiki yako hela unaenda kumuuliza mkeo au kumtumia mamako hela huko kijijini unamuuliza mkeo yaani pesa utafute wewe matumizi upangiwe na mkeo, wanaume siku hizi tumezidi uzezeta ndo maana tunajenga kwanza ukweni, kile kizazi chenye misamamo ya kiume kinazidi kupotea.
Umenena mkuu mijianaume umekubali kukaliwa na wanawake!huu ni msiba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom