ok! hebu tuone member gani ana umri mkubwa zaid ndani ya jf tangu ajiunge, me ndo kwanza nna ka-mwaka kamoja
Nilijiunga 1998
Nilijiunga kipindi cha vita kuu ya pili ya dunia....
mi nima zaid ya miaka2 sema nilisha badilisha id
unajuwa jambo forum ilianza lini kabla ya kuitwa jamii forums?
unajuwa jambo forum ilianza lini kabla ya kuitwa jamii forums?
nameles girl umenichekesha sana. I love u dear