R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,578
1. Natakiwa kuamka asubuhi sana,
2. Sijisikii vizuri,
3.Tunaweza kufanya baadaye ,sweet;
4.Nimelewa sana
5.Nina kazi ya kufanya,
6.nimefanya kazi hadi muda wa ziada,
7.Kichwa kinaniuma,
8.Nimechoka sana,
9.nimerudi mchovu,
10.Nataka kuangalia mpria (tv)
je hizi kweli ni sababu za msingi?
Je wakwako ana sababu zipi au we mwanaume uwa unasababu zipi za kukwepa kufanya mapenzi?
2. Sijisikii vizuri,
3.Tunaweza kufanya baadaye ,sweet;
4.Nimelewa sana
5.Nina kazi ya kufanya,
6.nimefanya kazi hadi muda wa ziada,
7.Kichwa kinaniuma,
8.Nimechoka sana,
9.nimerudi mchovu,
10.Nataka kuangalia mpria (tv)
je hizi kweli ni sababu za msingi?
Je wakwako ana sababu zipi au we mwanaume uwa unasababu zipi za kukwepa kufanya mapenzi?