Hivi ni Kwa nini wanaume wanaweweseka?

Hivi ni Kwa nini wanaume wanaweweseka?

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habarini marafiki

UKURASA MPYA:

HIVI NI KWANINI WANAUME WANAWEWESEKA?

Mada hii nimeleta kama swali fulani ambalo marafiki tutajadili na kulitafutia ufumbuzi tatizo hili ambalo limekuwa sugu na tena wenyewe hawajioni kuwa wameshakwama mahali na wanahitaji kusaidiwa kwa namna moja ama nyingine.

KABLA SIJAINGIA NDANI TAMBUA DALILI HIZI NDO UTAPATA MAANA HALISI KWANINI WANAUME WANAWEWESEKA.

DALILI ZA MWANZO ZA KUGUNDUA TATIZO HILO

1. :rain: ukiona dalili jua wazi kuwa kijana wako ameshadata na anza kufanya utaratibu wa kumsaidia atoke kwenye hilo tatizo vinginevyo utaona anaanza kuokota makopo.


2. :biggrin1: Tabasamu lisilokwisha muda wote, kila mara yeye huona kicheko kisichokwisha elewa wazi kuwa ndo anaanza Mara nyingi vijana hawa wakiona mwanamke ndo wanakuwa kama wamechanganyikiwa wanashindwa hata kuhema kwa mmhemko wanaoupata.

Tambua wazi sasa ndo ameshakwama anatafuta pa kuegemea hivyo mdada kuwa makini naye asije:whistle:


3.
A%20S-key.gif
Ukishaona hii iko wazi masaa yote na wala haijalockiwa elewa kuwa ameshasimama muda mrefu pindi alivyokuona na anashindwa kulala
kuwa makini kwani mtu wa aina hii mara zote ni mchepukaji kwa kila kona na wala hatulii na msichana mmoja yeye ni zoazoa tu ilimradi liende.
shosti nakutaadhalisha mapema kijana wa aina hii hakufai atakuletea majanga bure ushindwe pa kuhemea.

4.
A%20S%2039.gif
Ni mtu ambaye mara zote hawazi mambo ya maana ya kumletea maendeleo yeye anachowaza ni suala hilo tu la zinaa hana mwelekeo wowote wa
maisha yanakwendaje? Tambua mapema kuwa umepata mtu asiyena faida kwako bishosti elewa wazi umeshijikwaa cha kufanya achana naye tafuta
yule ambaye anapenda mabadiliko na mshawishi awe chachu njema ya \ mabadiliko katika maisha yenu.

5.
A%20S%20thumbs_up.gif
Mara zote ni mtu wa kukunja wala sio mtoaji, yeye ni mchoyo kwa kila kitu kiwe kizuri au chochote ni mgumu yaani ni mbahili kabisa hata leso
hakupi bestito tambua kuwa umepata majanga huyo achana naye, kwani atakufanya nawe uwe mchoyo na si mtoaji kwani hata Mungu hampi kilicho chake hajui kuwa ndiye aliyemuumba.

6.
A%20S%20kiss.gif
Ni MTU wenye MANENO MENGI YENYE KUVUTIA lakini ni mbaya kuliko simba kwani atakusifia u-mrembo na kumbe anakuzaba kwa mgongo
wa birika, atakufanya kuwa ndo wewe hakuna mwingine kaika himaya yake kumbe ameshaanza KUWEWESEKA na KUCHEPUKIA KWINGINE
anakokujua yeye kuwa makini na mtu wa aina hii atakuletea magonjwa bure bestito wangu kuwa makini kwani na kipindi hichi cha WORLD CUP
utaona anakuaga anakwenda kuangalia mechi jirani kumbe yuko manzese.

7.:coffee: Bestito kuwa mgunduzi na mtafiti na vilevile mshikishe adabu huyo mwandani wako ukiona yuko kimya anakunywa kahawa huku akijifanya anasoma jua wazi hapo hamna kitu anatafuta nyia nyingine akawewesekee huko na mbaya zaidi atajifanya anaku:busu kumbe anatafuta GIA no. 3 kukuchepuka kuwa makini kwani akishatoka nje na akaona mrembo mwingine tayari anaanza KUWEWESEKA NA KUTAKA KUFANYA DHAMBI NAYE.
Bestito kuwa strong usiyumbishwe, na hawa wanaume michepuko ukiona hivyo achana naye kaibisa.

Hizi ndo dalili ambazo waweza kumsoma mwanaume wako kama amechepuka na kuwewesekea nje ya ndoa yako hivyo tambua na kuwa mgunduzi la sivyo bestito utakuja juta na wakati haurudi nyuma unakwenda mbele kuwa makini na mtu mwenye staha ukiona amekufanyia hivyo wewe nenda barazani
pa wazee kusuluhisha ukiona anaendelea kuwewweseka achana naye kabisa, Anza mpango mpya.


CC: Mamndenyi, KakaKiiza, Mtambuzi, nitonye, mwallu, AshaDii, Excel, kabanga,
LiverpoolFC, Arushaone, Filipo, Preta, Husninyo, charminglady, Passion Lady,
Lady doctor, Ladymasa, Jiwe Linaloishi, Joe Nyandigira, utafiti, Blue G na marafiki
wengineo songeeni hapa.

warning: Kwa wale wanaopenda kuchukua thread za watu na kupeleka kwenye maviblog yao bila kujituma wenyewe na kuchukua mawazo ya wenzao na kupaste bila msingi wowote pls acha kufanya hivyo si busara toa maono yako na yapeleke kwa hicho kiblog chako.
na kama utachukua hii basi sema source yake ni JF IMETOKA kwa strong woman LADYF

Wasalaam

Ladyf
 
mmmmmmmmmmmmhhhh!!!! sijui nina mawenge bado ya usingizi??? sijakusoma sana,anyway ngoja nirudie kusoma tena......
 
labda kuna watakaokuelewa, mimi naona wewe ndio unaweweseka hueleweki hata ulitaka kuandika nini au kutufikishia ujumbe gani!!
 
Hii version ni "auto-translated" au?
..antways, multiple ID zina kazi, lols...
 
Madam, no offence lakini threads zako binafsi sizielewi, najaribu kupoteza mda kurudia lakini sielewi...!

Je, unafanya translation ya makala za lugha zingine kuja kiswahili? Au unatumia hizi auto-translate engines kutafsiri kazi zako? Natamani kupata maudhui ya kazi zako lakini seriously sielewi!!
 
Bestitoooo hebu nitasifirie hii kitu tafadhali..!
 
Nimeona kichina china tu

爱是你拥抱,永远不会想让你走的人。你没见过多年,但最爱的人是还在那里。给,

从来不期待回报的人。真正了解你是谁的人。那些为你而活。它是你与真正的光照耀着他们的眼睛和微笑的照片中的人。

带走你的呼吸的人。那些人是要投入你的时间和思考。不是那些不停地伤害你,永远不会使时间
 
Back
Top Bottom