Life style ipi itakayoleta kuheshimianakatika ndoa kati ya hizi?
==Kudekezana
==Kupigana?
Yapo baadhi ya makabila ukimwoa mwanamke halafu ukawa humpigi, heshima haitakuwepo maana anaona kama...
Habari zenu wana MMU,
Mimi nimekuwa nikisoma tu vile mnashauri watu na mimi ni mgeni humu naamini mtanipa ushirikiano. Jana nilienda club ile tupo na dance nikamuona shemeji yangu yupo na gal...
Mwanachama mwenzetu, rafiki yangu wa jukwaa pedwa la MMU ambaye anamchango mkubwa kwenye jukwaa hili ndugu kwamtoro leo anaachana rasmi na kambi ya ukapera na kuanza maisha mapya ya kuitwa mume...
Nimegundua kwamba watu wengi wana mazoea ya kumuomba MUNGU mume mwema na mambo mengine wanasahau kuomba marafiki wema a.k.a mashosti. Hata nyie wanaume washikaji zenu hao.
Nimejikuta sina rafiki...
Siku za karibuni kumetokea matuko ya picha za matukio ambayo yanaweza kusomeka kama kuwadhalilisha baadhi ya wabunge kimaadili na hata pengine kuleta taswira ya mwenendo ambao usingetazamiwa kwa...
Enzi zile mwanamke amepigwa na mumewe analia, akisikia tu hodii hodiii haraka sana anajifuta machozi na kuanza kucheka, wa siku hizi mbona ataenda kulilia kwa jirani ili dunia nzima ijue kapigwa...
Kuna mama jirani hapa anamuomba sana dogo gemu tena si mara moja, bora angeniomba mimi kaniacha miaka 5. Mara kwa mara anamuomba asex nae na pale nyumbani kwake dogo ni amezoeleka kama home tu...
Jamani endeleeni kutucheka walimu kwamba tuna mishahara midogo, wengine wanatudharau kuwa sisi tulifeli ndio mana tukawa walimu lakini mnasahau kuwa huku kuna marupurupu matamu sana.
Maana watoto...
Wana Mmu tujadili hili.
Hivi kwa nini wakaka wakiwa na mademu wengi anasifiwa ni lijali na mdada akiwa na madanga I mean mabwana wengi anaitwa malay.??
Wakati jambo linalofanyika ni lile lile...
Dear!!.
Mi natumaini tumeshaongea mengi kati yetu na sababu ya kutoka kutaka kuwa peke angu nshakwambia vizuri!!,usilie wala usiumie sana,sikatai unanipenda na nakupenda sana tu! kwa mda...
Hivi kipato kikubwa kinaweza kikaharibu mahusiano ya ndoa ambazo tunazo?
Kwa maana ndoa nyingi zenye matatizo kwa jinsi nionavyo mie ni zile za watu wenye vipato hasa wenye umri kati ya 28-48...
I don care kama yupo au hayupo....nimeshalia sana nina amani!# siwez kumrudia mie sio chizi ivo.
Ur a good man...nice...u knows how to love and care!! Muelewa...sijawahi kukuona but i can say...
habarini wanammu,ninataka kujua kwa nini ndoa za kikristo haziruhusu mwanaume kuoa mke zaidi ya mmoja hali ya kuwa manabii na mitume walioandikwa kwenye biblia kama vile daudi na yakobo walikuwa...
Nilikuwa na demu tukiishi mkoa fulani bhana, sasa akapata kakazi fulani Dar kumbe alipofika huko akapata mchepuko mwingine na kuanza kuzuga yaani baby nimekumiss mara yaani utanikuta kama...
Mimi ni kijana naishi moshi natafuta mwanamke wa kutoka nae out na kuchati naye awe naishi moshi au arusha.
Anitafute kwa namba 0656179600 umri kati ya 18 na 30, awe anjua mapenzi vizuri, be...
Kwa waliofunga tumeshafuturu,basi si haba nataraji wote mko buheri wa afya.
Back to the topic,why?
Kuna jamaa kahamia mtaani mambo yake saafi,wagogo wanasema mswano, na usafiri wake rav 4 dah...
Habari zenyu bana....
"Gladdy najua unanipenda and of course na mimi nakupenda pia sana tu kama nitakosea naomba unisamehe... you are the woman na zaidi ya hayo una malengo yako hata kama...
Hongereni kwa mfungo na habari zenu wadau.
Jamani nimekua mhanga kwa hii kitu kwa mda mrefu , naomba niweke wazi kua nilikua mfuasi sana wa hii kitu , kununa nuna bila sababu ya msingi, kosa...
Wana jf, leo kuna vitu muhimu vya kumfanya mwanaume atulie na asiwe na kushotokulia. Wanawake watambue kuwa mwanaume nae anapenda kubembelezwa, kusifiwa hata kama sura imelega, kuheshimiwa, kupewa...
Heshma kwenu.
Hivi mwanaume umekaa bar na mpenzi wako unakata kiroba nae anapga sodabanakuja kidume mwingne anakata serengeti bt kila dakika mchumba wako anatoa jicho kwa mshkaji,kila akicheka...