mbiza
JF-Expert Member
- Feb 8, 2014
- 539
- 147
habarini wanammu,ninataka kujua kwa nini ndoa za kikristo haziruhusu mwanaume kuoa mke zaidi ya mmoja hali ya kuwa manabii na mitume walioandikwa kwenye biblia kama vile daudi na yakobo walikuwa na mke zaidi ya mmoja? Na ni nani aliyeweka sheria hii ya kuoa mke mmoja tu?