Anatakwa kimahusiano na mama ya rafiki wake

Anatakwa kimahusiano na mama ya rafiki wake

Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
10,785
Reaction score
20,061
Kuna mama jirani hapa anamuomba sana dogo gemu tena si mara moja, bora angeniomba mimi kaniacha miaka 5. Mara kwa mara anamuomba asex nae na pale nyumbani kwake dogo ni amezoeleka kama home tu maana ni majirani ni marafiki na mwanae tangu wanakua, unafanyaje hapa?

Sio mimi bali ni dogo ananiomba ushauri. Single mazazi bwana.Dogo ana 23yrs maza ni 40's alizaa mapema akiwa shuleni na stil yupo single.

Mimi dogo nimwemwambia aache kwenda maana kamuomba sana sasa anaweza muwekea vitu akastuka maza kajisevia na muda woote huu yupo single tu ni hatari.

Naona dogo kama hanielewi elewi keshapazoea anaenda anashinda anarudi. Sasa najiuliza labda kesha mtindua.

Je rafiki yaje akifahamu sijui itakuwaje!!
 
Dah ,dogo wako ana tindo tena?! Dah!
Kuna sista-maza jirani hapa anamuomba sana dogo gemu tena si mara moja....bora angeniomba mimi kaniacha miaka5....mara kwa mara anamuomba asex nae..... na pale nyumbani kwake dodo ni amezoeleka kama home tu ...maana ni majirani ni marafiki na mwanae tangu wanakua.... unafanyaje hapa.... !!!! Sio mimi..... ni dogo ananiomba ushauri.... single mazaz bwana..... dogo 23 maza ni 40z alizaa mapema akiwa shuleni.... na stil yupo single.... mi dogo nimwemwambia aache kwenda maana ...kamuomba sana... sasa anaweza muwekea vitu akastuka maza kajisevia...na mda woote huu yupo single tu....ni hatari.....naona dogo kama hanielewi elewi... keshapazoea anaenda anshinda anarudi... sasa najiuliza labda kesha mtindua.... na rafiki yaje akifahamu sijui itakuwaje.......
 
Dah ,dogo wako ana tindo tena?! Dah!

We huna???!!

Topic ; Mwambie aaachane na huyo mwanamke atamgombanisha na rafiki yake wakati hilo penzi sijui tamaa haina hata miaka miwili itakufa!!!

Ila nawewe mkali unasema bora angekuomba wewe sio!!!!!
 
Shauri kichwa ya thread.....ni sahihi kusex na maza wa bestfriend wako....na ukiona sawa.... shauri na mengineyo....
 
Mwambie dogo achukue kazi,hapo ataongeza ujuzi coz huyo mmama ni vetelani ana full maujuzi
 
Mwambie mdogo wako apunguze kwenda kwa huyo rafiki ake. Mijimama mingine imeshindikana, atakuja kujikuta yupo ndani ya papuchi bila kujielewa.

Swali la kizushi, vipi maza angekutokea wewe mliyezidiana miaka 5?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Unasema afadhali ingekuwa wewe maana kakuacha miaka mitano. Ina maana kama zali lingeangukia kwako ungeisha tindua tayari na hapa wala usingekuja kuomba ushauri. Mwambie dodo achane na huyo mama, atamharibia maisha bure.
 
Swali la kizushi, vipi maza angekutokea wewe mliyezidiana miaka 5?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Thread isingekuwepo hii, hapo penyewe njemba ishajua mama anaendeka akiacha tu dogo jamaa atatafuta kila mbinu aoge maji!!!!
 
We huna???!!

Topic ; Mwambie aaachane na huyo mwanamke atamgombanisha na rafiki yake wakati hilo penzi sijui tamaa haina hata miaka miwili itakufa!!!

Ila nawewe mkali unasema bora angekuomba wewe sio!!!!!

Ningemchana moja kwa moja...c nnamjua ni kivuruge..
 
Wengi naona mmevutiwa na bora angeniomba mimi....!!!! Mantiki ni kwamba walau dogo ni kama mwanae ... yaani wamepishana miezi tu.... na kawalea si unajua tena uafrika... unaacha mtoto kwa jiran nini..... bora mimi ni age mate... hata hivyo nisingepiga kazi....
 
Thread isingekuwepo hii, hapo penyewe njemba ishajua mama anaendeka akiacha tu dogo jamaa atatafuta kila mbinu aoge maji!!!!

Ningeshampanda kitambo.... namfahamu vizuri... ni wale nyege zikipanda zitashushwa tu... atatafuta tu wakumpanda.... kwa udi na uvumba.... sasa nimerudi likizo...naona siku hizi sio kiviiile mda wote yupo tu na dogo mda wote yupo kule.... ndio nahofu.... na keshaombwa sana dogo...... ila dogo nae kabalikiwa MALIASILI....... na amesoma seminary.... kama kaanza kwa huyu ....sijui atatokaje...... lakini dogo anakataaa hajanyoosha goti....
 
We kweli mtoto wa nzi hata kwenye mharo utatua tu upate mlo. Nilivyosoma maelezo yako nikajua kilichokufanya ulete hili jambo kwamba ni wivu wala huna nia ya kumsaidia dogo kuepuka hilo jaribu. Pale uliposema "bora angekuomba wewe" hii inamaanisha ulitamani hiyo fursa. Sasa tukushauri wewe acha tabia ya wivu. Kama umeeleza vizuri kwamba umemweleza rafiki yako apunguze kwenda huko akakataa anaendelea kwenda basi mwache dogo ale raha apewe matumizi. Pia dada wa miaka 40 siyo mkubwa sana ana haki ya kutaka kumegwa na nyie vijana msioweza kutongoza wasichana wa age yenu nafuu mpewe hivyo. Ila kama kakolea mwambie wasifanye home maana rafiki yake akigundua atamchukia maana itabidi amuite baba mdogo!
 
Kamuombe wewe huyo maza mchezo akikupa atamsahau dogo lako
 
nlivosema "bora angeniomba mimi " nilimaanisha ukaribiano wa umri... si kana kwamba naona wivu sina hata kidogo.... na kama nlivosema hapo juu... tangu tupo wadogo(na huyo maza) alikuwa na kiwembe... akazaa mapema.... na nyege zikimpanda hachagui.... sasa ningeweza kumpanda tangu hukooo....
 
Mimi sina, wewe unayo? Tindo ni siraha, ikipita sehemu inasababisha 'structure deformation', sasa sijui hapo!
We huna???!!

Topic ; Mwambie aaachane na huyo mwanamke atamgombanisha na rafiki yake wakati hilo penzi sijui tamaa haina hata miaka miwili itakufa!!!

Ila nawewe mkali unasema bora angekuomba wewe sio!!!!!
 
Bro bana!
Sasa ndo nini hii?
Kunishauri koote kule kumbe nawewe unataka?
 
Back
Top Bottom