Wanawake kwa nini fedha zinawachanganya akili?

Wanawake kwa nini fedha zinawachanganya akili?

BABA SANIAH

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2013
Posts
4,777
Reaction score
6,268
Kwa waliofunga tumeshafuturu,basi si haba nataraji wote mko buheri wa afya.
Back to the topic,why?
Kuna jamaa kahamia mtaani mambo yake saafi,wagogo wanasema mswano, na usafiri wake rav 4 dah! Noma aisee!
Wake za watu4 kagonga,wakisoma kama 5 hivi nao kabanjua, lakustaajabisha alikua anagonga dada mtu,siku ya siku akamuona mdogo mtu,
kama kawa dogo kumbe anasoma mkoa,kajilengesha jamaa kagonga,
sas hakuna maekewano kati ya mtu na dada yake,majirani ndio tunahangaika kuwasuluhusha.
Whaat exacttly ijust need to know,kwa nini fedha zinawavuruga akili ?
 
tamaa zao hao wenyewe si kweli kwamba wote wako hivyo
 
Na ninyi kwa nini mnatumia pesa kama chambo....
 
Na ninyi kwa nini mnatumia pesa kama chambo....

kwa nini usiridhike na ulichonacho?
Nakuzawadia msemo huu uutumie siku zote.mtu hapati atakacho,bali ajaaliwacho na mola duniani.
 
hapa alipo senti kumi hana mi ndo namlea ujue usiulize nimeiga kwa dida lol

kama ni kweli unayoongea ya dhati toka moyoni hongera,na nimekupenda bureeee,
ila usimtimue jamaa kama dida.
 
♥Mwenye pesaaaaa mwenye pesa sio mwenzioooo nasemaaaaaaaa.
♥Usitumie pesa kama fimbo mama mambo ya mapenzi ni makubaliano hapo ndio pesa ina thamanii.
 
Yaani anawagonga kisa hiyo Rav 4 au anahonga sana?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hili jukwaa limehabika,......post za kijingajinga mods tutaanzisha yetu. Watch out
 
kwa nini usiridhike na ulichonacho?
Nakuzawadia msemo huu uutumie siku zote.mtu hapati atakacho,bali ajaaliwacho na mola duniani.

Na wewe kwa nini usitulie na mmoja unagonga watano wote ili iweje....unataka kuvumbua mgodi wa dhahabu kwenye nyuchi za watu?
 
Kwa waliofunga tumeshafuturu,basi si haba nataraji wote mko buheri wa afya.
Back to the topic,why?
Kuna jamaa kahamia mtaani mambo yake saafi,wagogo wanasema mswano, na usafiri wake rav 4 dah! Noma aisee!
Wake za watu4 kagonga,wakisoma kama 5 hivi nao kabanjua, lakustaajabisha alikua anagonga dada mtu,siku ya siku akamuona mdogo mtu,
kama kawa dogo kumbe anasoma mkoa,kajilengesha jamaa kagonga,
sas hakuna maekewano kati ya mtu na dada yake,majirani ndio tunahangaika kuwasuluhusha.
Whaat exacttly ijust need to know,kwa nini fedha zinawavuruga akili ?

siku fedha tu wana data na vingi hata kyepe yai kinawadatishaa
 
Na wewe kwa nini usitulie na mmoja unagonga watano wote ili iweje....unataka kuvumbua mgodi wa dhahabu kwenye nyuchi za watu?

kuna mazingira nyie mnatulazimisha tuwagonge,kama umekuka na khanga moja gheto halafu unanilegezea macho na kunitega mimi nikuache?
Halafu ukaseme yule kaka si rizki?
Sikuachi hata kidogo.
 
Inamaana kwenu hakuna magari binafsi kabisa??

Hadi gari ya wastaafu inawazuzua??

Upo kijiji gani??
 
Back
Top Bottom