Yapata miaka 15 iliyopita bwana mmoja dar ilipata kuoa.. Mwaka wa kwanza ukaisha kugegedena kukaendelea bila mafanikio yoyote ya kupata mtoto. katika desturi zetu za kiafrika ongea vyote lakini...
team bazazi!!! level zenu mech za mchangani alafu mnataka mkakipige champions league.
msipende kukosoa sana wakati na nyie mnamapungufu yenu katika mapenzi.. picha inajieleza zaidi
Huo ndo ukweli hata kama ni mchungu kwa mabinti ambao mna mahusiano na wazee halafu ukitegemea muda ukifika wa kutaka kuolewa umpate kijana wa umri wako.
Mifano halisi ipo mingi tu yamewakuta...
Ndugu wana JF,
Wakati mwingine huwa ninakumbwa na hisia kali sana ya kujitoa maisha yangu kwa ajili ya familia yangu, ndugu, jamaa na marafiki zangu wote. Hali hii hunijia wakati tofauti tofauti...
Natafuta mchumba ambaye Mungu akijalia tuishi pamoja hapo baadae.
Sifa zake...
1. Dini - mkristo
2. Kabila - lolote
2. Umbile - Hasiwe mfupi sana wala mnene sana.
3. Umri - hasizidi 27
4...
Dah!! Jamani!!
Hizi issue za kutaka kuoa naona zinataka kunishinda. Sijui mliooa mlioaje.
Sasa nimeona nipause kidogo kuhusu relationship.
Hii ni seriouse.
Mimi ni software developer ni develop...
Ni kweli,
Msichana anavutia zaidi kimahaba pindi akiwa amevaa nusu nusu! Mfano akivaa sketi fupi hapoo ndo mvuto unauona, zaidi sasa aweke mpasuo wa haja aaah midume mate!
Akivaa kinguo...
Hebu fikiria, katika wanawake /wanaume wote uliotembea nao kabla ama baada ya kuoa/kuolewa.
Ingetokea siku moja, wakati mmoja wakaja mbele yako ukiwa na mwenza wako kukushtaki kwake, unadhani ni...
Huu ni upuuzi wa hali ya juu, wakati unaanza mahusiano na mtu uliyemzidi elimu ukiwa huna kitu ,vumbi limekujaa mpaka kwenye kope za macho hukuona kwamba sio level yako.
Leo hii umepata ajira...
Mwenzetu huyu yamekuta, amempenda binti wa kikulya, na sasa walikuwa ktk harakati za kufunga ndoa. Anasema mahusiano yao yamedumu kwa miaka 5, na hii ilitokana na kijana kumvumilia mwenzi wake...
Nimeolewa na nina watoto 2, mimi ni muajiriwa na mume wangu pia muajiriwa serikalini.
Siku moja ilikuwa birthday ya mume wangu but alisahau ikabidi nimfanyie suprise kumpelekea zawadi ikiwemo...
1. Wana Nguo Nyingi Kuliko Wanaume.
2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi Wa Watoto Wao.
3. Ni Wepesi Kupenda Na Wakipenda Hupenda Kweli.
4. Wanaoga Mara Nyingi Zaidi Kwa Siku.
5. Wana Huruma Sana...
Apo zamani kulikuwa na mwana mama mmoja aitwaye TUNDO,huyu mama hakubahatika kupata mtoto,hali iliyofanya ndoa yake kuwa matatani,kwani ndugu wa mume wake hawakumpenda kabisa, sababu ilikuwa ni...
Ukiwa na gari, kuna watu autmatically utakuwa unawapa lift, hasa hasa kutoka ofisini unawasogeza mpaka maeneo wewe huendi wao wanachukua usafiri mwingine.
Sasa kuna ile mmoja ya watu hao anakuwa...