I'm energetic man aged 32 yrs wth average body type,degree holder,employed & lives in Dsm. I'm single wth no kid but I deserve 2 be a lovely Dady who is able 2 take care 4 a family wth presence of...
Kwanza nitangulize salamu wakuu. Natumai wote wazima wa afya. Ni hivi,kuna huyu kijana ambaye ni workmate na tumeshafahamiana kwa miaka 4 sasa. Kwa mda sasa kulikuwa na minong'ono ofisini kuhusu...
Kwa wenye kumbukumbu mtakumbuka niliahidi kwenda ukweni kupambana na nikasema nimepata majembe, uncle wangu aliyeahidi atafanya maajabu katika bargaining power.
Kweli siku ikafika tukaenda...
Anyeonghaseyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!
Kutokana na mimi kutumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni yangu humu mmu, nimejipatia upinzani wa kutosha mnooo! I love and enjoy a...
WanaJamii,
Hii nimeikuta kuleee....Courtesy of BWANA MTEY
UMUHIMU WA BIBLE HUU HAPA
Jamaa: Hello mrembo, samahani, una mpenzi?
Binti: Hapana. Sina mpenzi.
Jamaa...
WASHINGTON (Reuters) – Women with high levels of estrogen not only look and feel prettier -- but they may act on those feelings by moving from man to man, U.S. researchers reported on...
Mimi ni msukuma hasa, chapa ya ng'ombe. Nashangaa mtu anaambiwa kutoa mahari milioni tano anaona issue. Sisi wasukuma raha yetu kuambiwa mahari kubwa.
Nitafurahi sana endapo wakwe zangu watadai...
Ni katika tukio la kushtua, mrembo ambaye inasemekana amekuwa akijitambulisha kwa majina mengi likiwemo la Recho ambalo aliamua kulishikilia alipofikishwa katika kituo cha polisi cha urafiki...
lugha aliyokuwa akiongea yule mrembo,sikuweza kuielewa ila nilihisi anaongea kitutsi,alipomaliza kuongea,aliniambia kuwa yeye hajui popote kunakopatikana silaha,alinidadisi mi ni nani hasa...
Habari wanaJF,
Nimejaribu kufuatilia kwa kina nikaona nijaribu kujua kwanini status katika mitandao mbalimbali ya kijamii zinahusu matatizo ya kila siku yanayomkumba mtu hususani ya kimapenzi...
Ni mwaka mmoja sasa wa ndoa yao na haya ndio mambo anayoyafanya huyo mwanamke...hii ni first side....
(habari hii hainihusu mimi inamhusu mtu wa karibu sana na familia yangu).
1.Mke alibahatika...
Rafiki wa kiume nafahamiana nae tangu enzi za darasa la kwanza. Tuliepotezana kwa muda mrefu tu, ikatokea tukakutana tena njiani, nadhani mwajua furaha inayokuwa kwa watu mliopotezana muda mrefu...
Anyeonghaseyoooooooooooooooooooooooooooooooo!
The longanticipated piece from me is finally here! Niliahidi kesho but sitokuwa na mda, a man is as good as his word nimeona nilishushe tonight...
Jioni hii nimetoka kucheza mechi ya kirafiki.nilikuwa sijui raha ya mechi ni magoli mengi.basi gemu imeanza mida ya saa tisa hivi.haikunichukua mda coz dakika ya tatu tu nikawa naongoza moja...
Habari ndugu zangu mimi ni kijana ambaye nko chuo kuna msichana mmoja hivi nimetokea kumpenda sanaa nilijaribu kumwambia akaniambia nimechelewa coz tayari ana mtu wake nikajitahidi kumbembeleza...
Ndungu wanaume.
Ni asili na jadi kumhonga mwanamke. Huwa nawashangaa sana wanaume wabahili!
Unakuta mwanaume unamhonga mwanamke laki tano unamsumbua mtoto wa watu mpaka anakukimbia kabisa...