Kiu ya ndoa kwa wadada yaleta mapinduzi

Kiu ya ndoa kwa wadada yaleta mapinduzi

xfactor

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
1,511
Reaction score
1,290
attachment.php


Tunapoelekea hali ndio itakuwa hivi, wanawake wana propose wanauume
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1406713186.639611.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1406713186.639611.jpg
    64.1 KB · Views: 3,249
tunaiharibu necha tukishafika huko msisimko anaoupata mwanaume kwa kupropose ataukosa na raha anayoipata mwanamke kwa kuwa proposed haitakuwepo tena wala siombei kabisa tufike huko.
 
tunaiharibu necha tukishafika huko msisimko anaoupata mwanaume kwa kupropose ataukosa na raha anayoipata mwanamke kwa kuwa proposed haitakuwepo tena wala siombei kabisa tufike huko.

Msisimko na raha nazo pia zita badilika.Mwanamke ataona fahari kupropose na mwanaume atafurahia.hahahahaaa ngoja waje hapa
 
to me hapana kwa kweli labda kama ulivyosema acha na wegine waje wafunguke.
Msisimko na raha nazo pia zita badilika.Mwanamke ataona fahari kupropose na mwanaume atafurahia.hahahahaaa ngoja waje hapa
 
Hii ipo lakini haijawa hadharani sana, maana kuna mabinti wanalipa kabisa mahari kwa siri ili waolewe.
 
Dah hii hatari, akina dada wengi watakua wanalia sana!!
 
Back
Top Bottom