Kinachoniboa na kukera toka kwa wanawake wenzangu

Vaislay

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
4,532
1,822
Rafiki wa kiume nafahamiana nae tangu enzi za darasa la kwanza. Tuliepotezana kwa muda mrefu tu, ikatokea tukakutana tena njiani, nadhani mwajua furaha inayokuwa kwa watu mliopotezana muda mrefu.

Tulibadilishana namba na since then tukawa tunachart vizuri tu tukapanga tuonane tupige stori vizuri weekend. Nimelala usiku sa8 kasimu kanaita, "hallow, uniachie bwana angu, tena ukome kumtumia messeji nakwambia utaona nikikujua wewe nani, najua sana P malaya anapenda sana ngono, mimi hivi kwanza naishi nyumbani kwao na nina mimba yake nakuroga nakwambia..." nikamjibu tu "haya ,ila umemuiliza huyo so called bwanako mi ni nani kwake?" kigugumizi.....nikaona huyu mjinga hebu nilale..

Nilichokiona hapo mpaka nikaona nilete hapa ni kwamba, hiyo ni weakness ya wanawake wengi wajinga. Ukiona nawe huwa unakurupuka hivyo jione mjinga.

Mahusiano ya sikuhizi tunajua ni majanga japo yaliyomema pia yapo, kama mdada/mke sijui unahisi mumeo /mchumba/beb anakoroga mambo huna sababu ya kuanza kujipa presha na mwanamke mwenzio we deal na huyo mwanaume wako, huyo mwanaume ndiye aliyeenda kumtongoza mwenzio labda.

Kwa wale ambao wanataka kweli usilogwe kumpayukia mwanamke mwenzio hapo unakuwa unampa chance ya kukuvuruga akili na atakuvuruga mpaka, wengine kama ngumi sijui bifu wanakuwa wamezaliwa nazo, ndo yale mali yako na kipigi chako.

Na kwa akili hiyo ya ndege unaweza ukamwaribia mume/mchumba beb sijui kazini..unatukana mtu kumbe ni boss wake NANI ANAKUWA KAMKOMESHA MWENZIE HAPO.?

Ni hayo tu....
 
Ndivyo tulivyoumbwa....tukiact vinginevyo hatujitendei haki hahahahah....btw pole mamito. Nasikitika mimi haya mambo ya kupigiwa simu na huwa hayanikuti mara nyingi. Kuna mtu alinipigia simu anahema balaa...nikamwambia calm down....mumeo anaitwa nani? Akajibu ooh unaniuliza kwani humjui? Nikamwambia ninao waume za watu wengi sana so niambie we wa kwako ni yupi kati ya hao....akakata simu maana alikuwa amepanic....hata sikujishughulisha kumtafuta.
 
Historia inaonyesha kwamba, hakuna uhusiano wa kawaida kati ya mwanamke na mwanaume ambao ni wa kawaida tu. Mbaya zaidi mtu kama huyo ambaye mmesoma wote. Siku mkionanan kama ilivyokutokea huwa shetani hayuko mbali. Ni kweli labda huyo mwenzio kakukera sana lakini alikuwa anapiga muda huo (usiku) akijua nawe utakuwa na mwenzi wako ili nae akuweke kibano na asaidie mshambulizi. Husimpagie mtu kiwango cha hasira hasa kwa kitu kama hicho
 
Ndivyo tulivyoumbwa....tukiact vinginevyo hatujitendei haki hahahahah....btw pole mamito. Nasikitika mimi haya mambo ya kupigiwa simu na huwa hayanikuti mara nyingi. Kuna mtu alinipigia simu anahema balaa...nikamwambia calm down....mumeo anaitwa nani? Akajibu ooh unaniuliza kwani humjui? Nikamwambia ninao waume za watu wengi sana so niambie we wa kwako ni yupi kati ya hao....akakata simu maana alikuwa amepanic....hata sikujishughulisha kumtafuta.

hahahaha ulimmaliza
 
Rafiki wa kiume nafahamiana nae tangu enzi za darasa la kwanza...
tuliepotezana kwa muda mrefu tu,Ikatokea tukakutana tena njiani,nadhani mwajua furaha inayokuwa kwa watu mliopotezana muda mrefu...
Tulibadilishana namba na since then tukawa tunachart vizuri tu tukapanga tuonane tupige stori vizuri weekend...
Nimelala usiku sa8 kasimu kanaita..."hallow ...uniachie bwana angu,tena ukome kumtumia messeji nakwambia utaona nikikujua wewe nani, najua sana P malaya anapenda kut.o.mb...wanawake, mimi hivi kwanza naishi nyumbani kwao na nina mimba yake.. nakuroga nakwambia..." nikamjibu tu "haya ,ila umemuiliza huyo so called bwanako mi ni nani kwake?" kigugumizi.....nikaona huyu mjinga hebu nilale..

Nilichokiona hapo mpaka nikaona nilete hapa ni kwamba...Hiyo ni weakness ya wanawake wengi wajinga...ukiona nawe huwa unakurupuka hivyo jione mjinga...
Mahusiano ya sikuhizi tunajua ni majanga japo yaliyomema pia yapo..kama mdada/mke sijui unahisi mumeo /mchumba/beb anakoroga mambo huna sababu ya kuanza kujipa presha na mwanamke mwenzio we deal na huyo mwanaume wako...huyo mwanaume ndiye aliyeenda kumtongoza mwenzio labda...
Kwa wale ambao wanatoka kweli usilogwe kumpayukia mwanamke mwenzio hapo unakuwa umpa chance ya kukuvuruga akili na atakuvuruga mpaka, wengine kama ngumi sijui bifu wanakuwa wamezaliwa nazo..ndo yale mali yako na kipigi chako...
Na kwa akili hiyo ya ndege unaweza ukamwaribia mume/mchumba beb sijui kazini..unatukana mtu kumbe ni boss wake NANI ANAKUWA KAMKOMESHA MWENZIE HAPO.?

Ni hayo tu....

Tatizo nyinyi wanawake wa uswazi mnawaza ngono.
 
Ndivyo tulivyoumbwa....tukiact vinginevyo hatujitendei haki hahahahah....btw pole mamito. Nasikitika mimi haya mambo ya kupigiwa simu na huwa hayanikuti mara nyingi. Kuna mtu alinipigia simu anahema balaa...nikamwambia calm down....mumeo anaitwa nani? Akajibu ooh unaniuliza kwani humjui? Nikamwambia ninao waume za watu wengi sana so niambie we wa kwako ni yupi kati ya hao....akakata simu maana alikuwa amepanic....hata sikujishughulisha kumtafuta.

hahahaaaa duuu...kweli yako kali mpaka mpigaji anajuta kupiga..
haina sababu ya kupanic hizi mambo..we unahangaika kutukana huku huyo huyo mwanaume anaenda kubembeleza upande wa pili
unakuwa umefanya nini...
 
Ni aina gani ya chaRt pie chart au?

Kuhusu kudeal na mwanamke instead of your husband nafikiri ni udhaifu wa wanawake wengi ambao hushindwa au huogopa kudeal na mzizi hivyo huhangaika na matawi.

Lkn nawe unatakiwa kuwa considerate, vaa viatu vya huyo mwanamke then utapunguza chatting na huyo mume wa mtu.
 
hiyo ni kwa wanawake ambao hawajiamini na hawawaamini waume zao. Yaan kila akiona mpenziwe yuko karibu na dada flan wazo la kwanza kichwani ni kwamba ana mapenzi nae. Na wanaume wengne ukianza kumuwazia hayo mambo na wakati hayuko hvyo anaamua kuyafanya kweli ili alaumiwe kihalali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom