Maswali mawili yanayokera wanaume!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maswali mawili yanayokera wanaume!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kigarama, Mar 16, 2012.

 1. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kutokana na kukua kwa teknolojia kuwasiliana siku hizi imekuwa rahisi zaidi kuliko ilivyokuwa zamani. Teknolojia pia imeleta vitu vingine ambavyo vimepata ushabiki hapa bongo kama vile ligi kuu ya Uingereza. Kwa kutumia simu wapenzi au wanandoa imekuwa ni rahisi sana kuwasiliana.

  Lakini kwa kuwasiliana huko kuna maswali ambayo wanawake huwauliza wenza wao ambayo kwa kweli huwakera wanaume wengi sana. Utakuta mwanamke anapiga simu mwenzie akipokea tu kabla ya kusema anachotaka kusema anaanza kwa swali "uko wapi?" mara nyingi kwa sauti ya kipolisi. Jamaa akijibu alipo linafuata swali la pili "unafanya nini?"

  Ki ukweli kabisa haya maswali na jinsi yanavyoulizwa mara nyingi huwakoroga wanaume. Kama wewe ni mwanamke umeshawahi kumuuliza mpenzi wako maswali haya. Na kama wewe ni mwanaume umeshawahi kuulizwa maswali haya na huwa unajisikiaje?
   
 2. L

  Lady G JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 517
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kuna ka ukweli hapo
   
 3. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  hmmm hujapindisha kbs
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  hata sisi hayo maswali mkituuliza huwa yanatuboa....
   
 5. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mimi niko tofauti, sijaoa ila ninamchumba na ikitokea kaniuliza hvo huwa nafurahi coz nahisi ananijali
   
 6. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,696
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Mbona musuali ya kawaida na marahisi sana kujibu.
   
 7. Zabibu

  Zabibu JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kwakweli huwa inaboa sana,wakati mwingine mtu anajua kabisa uko kazini na ni saa za kazi lakini bado atakuuliza uko wapi?,unafanya nini?
   
 8. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  msisingizie maendeleo na simu bure.
  unajua ukiingia kwenye relationship kuna vitu ambavyo inabisi ukubali kuwa ni sehemu ya maisha ya kuwa wawili nalo hili la kumjulisha mwenzio upo wapi na utakuwa unafanya nini huko unapokwenda ni moja wapo.
  wewe kama utampa taharifa mwenzio na kweli ukawa unasema ukweli itafika sehemu mwenzi wako hatakuwa na shaka la kukupigia simu akuulize ulize upo wapi na unafanya nini......ukishaingia kwenye relation basi ni lazima umjulishe mwenzi mipango yako ya nini kumuweka mwenzio roho juu juu?
   
 9. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  kudadeki hata demu wangu huwa ananiulizaga huo
  uswali
   
 10. C

  Chiriku Member

  #10
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  inaonekana we ndo unaechukia coz co mwaminifu,wengne hupenda coz hujua nd mapnz y kwl y kumjal mwenz wako,sasa km we unachukiaga ucjumuishe n wanaume wote.
   
 11. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #11
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Labda walifundishwa hivyo kwenye Kitchen PARTY....
   
 12. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #12
  Mar 16, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Chiriku sauti yako tamu kama nini vile? Miye huwa sichukii kama itakuwa kuna jambo muhimu au mahaba yamemtuma kuuliza hayo maswali. Lakini kuniuliza kama mtoto mdogo anayekumbushwa kwamba muda wa kurudi nyumbani umefika, ndiyo SITAKI!!
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Mar 16, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Ni mbinu kama ana lidume anajiweka katika mazingira ya kulitoa au yeye kutoka eneo husika
   
 14. s

  sawabho JF-Expert Member

  #14
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Sioni kitufe kingine cha "Like" ningekugongea like x 10,000
   
 15. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #15
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,577
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  ha ko ka Uko wapi ndo nimekazoea mie ..ngoja niache kumbe ni kero ...
  Thank you .
   
 16. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #16
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Dadaa:uko wapi?
  Kakaa: kwenye ukumbi wa kuonyeshea mpira nikiangalia mechi ya Barcelona
  Dadaa: uko na nani?
  Kakaa: na Derrick
  Dadaa: mpe simu nimsalimie(akiwa anijua sauti ya Derrick)

  Kama kweli haina shida,kama uongo hapatoshi
   
 17. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #17
  Mar 16, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Halafu ukimpa Derrick anamwambia akurudishie hapo ndipo unapopewa maelekezo "na leo jifanye unachelewa kurudi, maana ukikutana na huyo mjinga mwenzio na hiyo mipira yenu ndiyo mnarudi majogoo yanawika"
   
 18. zimwimtu

  zimwimtu JF-Expert Member

  #18
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 1,889
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  mie huwa napenda nikiulizaw hivo, ila kwa sauti ya upole sio kama polisi. ni ishara ya kukujali na ajue kama upo salama.
   
 19. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #19
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Maswali ya kawaida kabisa na kama wewe huna tatizo hutaona yanakera ila kama kuna ISSUE yatakukera. Lets say umetoka kazini kuwa unaenda lunch, then ukaenda kummmega dada nanihii somewhere. Wakati bado uko eneo la tukio wife/mpenzi ndo anakupigia na kukuuliza hayo maswali, hapo lazima uwake. Kwanza utajiuliza ivi kaniona au! Hapo sasa ndo unapokereka.
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Kama hamtaki kuulizwa msipokee simu nukta
   
Loading...