Nimeachana na mtoto wa kinyarwada

Nimeachana na mtoto wa kinyarwada

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,969
Baada ya kufuata ushauri wenu na kujionea yoooote hayo niliyoona. Nimeamua kabisa kuachana na mtoto wa kinyarwanda.

Sasa hivi niko free. Natafuta kitoto cha kitz kitakacho nikonga moyo wangu.

Hii ni baada ya ushauri wa watu fulani fulani hapa jamvini.

Natafuta kitoto kinachojua kupika vizuri, maana napenda kupikiwa. Mimi sijui kupika vizuri ila napenda kula vizuri. Si unajua tena sisi wasukuma kwa kula!!
 
Mimi najua kupika vizurii
 
tafuta rice cooker na vingne vingne vinavyopikapika kama shda ni kula
 
Back
Top Bottom