Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

wepson

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
831
Reaction score
219
Habarini, mm ni kijana wa umri wa miaka 28 natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 22 hadi 26.awe mkristo mchamungu kazi sio lazima ,mwelewa(Understanding),anajitambua (Selfdetermination) .mawasiliano 0713125476 au pjustincol@gmail.com au ani PM
Natanguliza shukrani zangu
 
Mmmmmhh! Kwa hiyo address anatuma application na kuattach cv au?
 
Habarini, mm ni kijana wa umri wa miaka 28 natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 22 hadi 26.awe mkristo mchamungu kazi sio lazima ,mwelewa(Understanding),anajitambua (Selfdetermination) .mawasiliano 0713125476 au pjustincol@gmail.com au ani PM
Natanguliza shukrani zangu
Umesahau kuandika wapi interview itafanyika.
 
Nilidhan wote wamepelekwa jeshi,kumbe kuna wengine walibaki
 
C ndo mwanzo wa kukumbana na majini huu jamani!
 
Nimechoka kutafutwa nimeamua kuweka mlango wazi mwisho tarehe 15 mwez huu, swala la kula unakuja kwangu kwania unanjaa au kukutana na mm tupange maisha yataendaje?? halafu we unaesema majini majini yapo hukoo baharini sio hum jamvini na anedhan sijabarehe naona yy ndo mtoto kwa kua hapa ndo mahara pake alitaka nipeleke jukwaa la siasa hata kwake inaonesha anaweza weka sahani za chakula uvinguni mwa kitanda na viatu kwenye kabati la nguo nadilikeni vijana .Mnapenza wachumba na gharama hamtaki basi muoe wapenzi wenu muishinao kwa baba zenu nadhan nimrjib hoja zenu zote kwa ufupi
 
Avemaria msha.mba sana unataka utafutwe kwan wanawake ndo wenye uhitaji sana wa mapenzi basi wanaume tusinge wasikia wamejika n.yeti zao na wengine kjpiga p.nyeto vijana wengi wanalalamika ooo nguvu za kiume kumbe mnasubiri wanawake wawafuuate.Amakweli jukwaa linawajin.ga hili hujiulizi baba yako MASKINI NAAMA YAKO ALIMPATAJE uuwiii.Mi kazi ninayo kubwa tuu nahitaji mke akae home afanye shughuri zake hapo na kuwa karibu na watoto .
 
Punguza jazba kaka
 
Back
Top Bottom