Nimekuwa nae kwenye mahusiano kwa muda wa miezi sita sasa.
Lakini hii yote ni kwa sababu ya mimi kuwa mvumilivu na kujipa moyo kuwa nitaweza kumudu kuwa nae.
Tatizo ni mawasiliano yangu mimi na yeye maana yeye anakaa mbali na mimi na muda mwingi anakuwa katingwa na shughuli zake.
Hivyo hapati muda wa kuweza hata kunijulia hali na mimi kwangu inakuwa ngumu maana yeye hapokei simu nikimpigia.
Muda pekee ni jioni ndo anapata na mimi muda kama huo na kuwa bado kwenye miangaiko yangu.
Yeye akifika anakula na kulala sasa we don't get to talk kama wapenzi, na hii ni yeye muda wa usiku ambao tungeweza kuongea na kujuliana hali yeye anakuwa kalala.
Sasa ni nashindwa kuelewa haya mapenzi ya namna gani.
N she claims that she love me sana.
I really don't get, I need ur advice guys help me nifanyeje.