Mike m
Senior Member
- May 8, 2014
- 123
- 120
Mambo vp wadau, mpo.
Ni hivi one day natoka kwa geti kuelekea job, ile kutoka tu nikameet na mrembo mmoja, kila idara kweli alikuwa kajaaliwa, yes mwanaume nkajivuta nikampa salaam hakuchuna. Nikasema yes, hapa nakuomba namba fasta otherwise ntalate job..nikapewa bila hiana huyoo nkajikata, kifupi nlimzimia sana.
Badae nikapanda kwa hewa...nkampa hi, akanisoma,then tukachat na kesho yake hadi wiki nzima ilikuwa ni chat na mipigo ya simu, ila sikumtongoza coz kwa chat tu nliamin kanisoma kuwa nimezima.
Nilichofanya nilimuita home tu nimjue zaidi na vyake vya ndani.
Aisee alinisumbua kuonana naye.
Kila tukipanga haji anatoa sababu tu.
Mpaka nikakata tamaa, nikamwambia siku ukiona sasa unaweza kuonana na mimi tena uniambie.
Ikapita miezi 2, akanical sina hili wala lile na siku hiyo mvua ilikuw ikipiga mdogomdogo na kibarid kikali.
Si mnaelewa tena Arusha, halafu ni jioni akadai atafika jioni.
Kweli jioni akatimba akaja home kama saa moja jioni.
Nikamweka kama nusu saa hivi story za nyuma, kwanini amepotea hadi leo akajibu nikapotezea, nikamtoa out jioni ile akala, nikampa kinywaji, kumbe anapiga lite, kapiga3.
Nami nikasafiri zangu kwa zaidi yake1,mtoto hana noma ...hao home.Njiani kaanza baby,honey nakupenda..SAA hyo ni NNE kasoro kidogo ucku.kaendelea sasa wapi huku..home nkamjibu..akasema ila kesho nimwaishe anawahi job asubuhi nikamjibu usijali.
Kama kawa hao bedi, mzigo nikapewa nusu ya round ya kwanza, katikati akaomba kwenda haja ndogo, ile namwachia kabla hajafika lango la toi, kajikojolea tena ile ya pyaaa ka bomba la maji lenye presha. Nikadhani ilimzidi akasafisha tukaendelea katikati ya gemu tena, kitu kikiwa ndani kakojoa tena, nlihis hivyo baada ya kuhisi joto. Ile kuchomoa mkojo bedi kama sado..nkamwacha alale hapo had asbh akaenda zake..coz aligoma kunambia tatizo nini.
Hadi leo sijamtafuta mimi wala yeye coz alisepa na aibu kinoma
Wadau alikuwa na tatizo gani huenda?
Mimi sikuelewa hadi Leo.
Karibuni