Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

nilikuwa na dem wngu tumekaa kwnye uhusiano takriba miaka 3 hla alibadilka ghafla nakuniambia hanitak hila cku za karbu ameanza kutuma sms. za kimahaba nahic anatka kurud je nifanyejee?
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Habari zenu wana jf, nsiwachoshe na salaam nyingi natumai ni wazima Ok mimi nina girlfriend ambaye kaishia form 3, mapenzi naye nilianza kama mzaa vile, lakini badae nikajikuta nimezama mazima...
1 Reactions
140 Replies
16K Views
Anyeonghaseyoooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!! Leo sina mengi, nina hoja ndogo sanaa kwenu wanaume hususani watu wazima wenzangu. Sisi wote watu wazima, (Hapo moyoni mnasema unatuita...
13 Reactions
189 Replies
18K Views
Binadamu wao full kugegedana tu mda wote. Hawana msimu wa kupumzika kama wanyama wengine. Je isingekuwa vizuri kama nao wangekuwa na msimu wa kugegedana/msimu wa joto kama ilivyo kwa wanyama...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Jana usiku nilichelewa kurudi home, sasa shemeji yangu wa kike, mdogo wa wife ndo alikuja kunifungulia mlango. Wakati anainama kufunga komeo la chini la gate la mlango nikamshika makalio...
8 Reactions
233 Replies
32K Views
Naombeni ushauri jaman!mimi na mchumba wangu(hatujafunga ndoa) tumefanikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume!lakini tangu hapo kumekuwa na malumbano makubwa sana kiasi kwamba hadi sasa hivi mawasiliano...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Imekuwa kawaida sana kwa watu wapendanao kuitana majina ya kimahaba kama honey, sweetie, baby (hata kama ni mzee), mume wangu/mke wangu (na hawajaoana) na majina mengine lukuki lakini pindi tu...
0 Reactions
14 Replies
11K Views
Habari zenu kwa wale wa Afrika mashariki na kati mmeamka salama? Why i came up with this topic asubuhi yote hii? kuna shostito wangu mmoja ni kama anatamani kufa right this moment. Na baadhi ya...
6 Reactions
81 Replies
6K Views
kuna mdada wa kinyarwanda alinitext kwenye FB akaomba email yangu nikampa, tukawa tunachati naye sana siku moja akanambia anaitaji aje tuishi naye Tanzania cause kule familia yake yote ilishakufa...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Salaamu, Kichwa cha habari kinahusika.Sio siri warembo wengi wa Dar es salaam wanazimika sana na machalii wa Arachuga wengi wakitoa sababu zifuatazo: 1.Machalii sio mashalobalo ni wachapakazi...
4 Reactions
159 Replies
19K Views
Nieleweke ni ndugu yangu 'Damu' mtoto wa Baba Mkubwa. Kamaliza form four mwaka 2010 kafail alipata ziro na 'D' moja tu, 2011 akareseat ndo kavurunda kabisa, 2012 nikamwambia njoo huku nchi jirani...
3 Reactions
71 Replies
7K Views
Habar wanajamii wa MMU. Alijitahidi kuonekana mwenye furaha lakini ukweli moyo wake ulikua na huzuni, basi stori alizokua ananipigia ilikua ni kumfariji na tusiboreke na safari, lakini bado...
0 Reactions
51 Replies
8K Views
Ani Pm kwa maelezo zaidi, mzigo upo sokoni kutoka china.
0 Reactions
82 Replies
15K Views
1. Usioane na mwanaume au mwanamke anayejua mahusiano yako ya nyuma - - - ugomvi mwingi katika ndoa unaanzia hapo, mnaweza kuoana lakini kumbuka huo utakuwa ni msalaba wako maisha yote mpaka...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Rafiki yangu wa kike (marafiki tu wa kawaida) ambaye anafanyakazi moja ya halmashauri hapa jijini Dar ameanza tabia moja ambayo siielewi kidogo, yeye anasema ameanza hivyo baada ya kusalitiwa na...
1 Reactions
46 Replies
6K Views
Waungwana nisaidieni, kama mke wangu amefariki na kaniachia watoto wawili bado wadogo, mdogo wa mke wangu akaja kunisaidia kwa muds kuangalia watoto, ikatokea tukapendana na tunahaja ya kufunga...
0 Reactions
79 Replies
9K Views
Miezi kadhaa rafiki yangu alipata mpenzi wakaanza kuishi pamoja. Mapenzi moto na waliaminia walipendana baadae mwanamke angeenda likizo kwao baada ya semister kwisha. Tatizo sasa rafiki yangu...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Wadau jana mwana MMU mwenzetu xiexie amevuta jiko,amepata mwandani wake,amekamilisha nusu ya dini,amepata mke,napenda kumpongeza kupitia jukwaa hili na kumtakia kila la kheri kwenye maisha yake ya...
9 Reactions
109 Replies
9K Views
0 Reactions
106 Replies
13K Views
Hebu chukua nafasi kidogo jiulize haya mapenzi wadau mbalimbali wanayochangia humu katika JF ingekua ni chuki ingekuaje? Hebu kila mmoja arushe neno moja moja nini ingekua hatima yake.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…