Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wa Karibuni Jamani kwa michango yenu.
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari za asubuhi. Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo langu. Kuna baadhi ya wanaume wana tabia ambayo mimi binafsi sipendezwi nayo kwa hakika. Mwanaume anakuwa anathamini watoto kuliko mke...
11 Reactions
131 Replies
9K Views
Habari za leo wana MMU, Mimi ni kijana wa miaka 28, nina girlfriend wangu ambae huwa tunakutana mara moja au mara mbili kwa mwezi kulingana na ratiba inavyoruhusu, sababu hatuishi karibu sana...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Salaam wakuu Nimekuwa nikishuhudia mahusiano mengi yakivunjika na hata ndoa zimekuwa na migogoro kama sio kuvunjika kabisa. Lakini ukija kuchunguza kwa umakini unakuta mzizi wa yote ni uongo tu...
0 Reactions
56 Replies
4K Views
Za kazi. Kwa wale wenye uzoefu na walio katika ndoa tayari. Naombeni mnijuze endapo mwanaume yupo kwenye uhusiano na msichana na wao wawili wamekubaliana kuja kuishi pamoja kama mke na mume, ni...
0 Reactions
21 Replies
10K Views
Je kuna sababu ya kumuonea wivu mwanamke ambaye hujamkuta bikra? (si maanishi mke)
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Ni kwamba alitoka nyumban akaenda kukaa kwa ndugu yake maeneo ya Kigoma mjini. Ni kwamba huyo ndugu yake ameolewa huko. Siku moja huyo dadake amesafiri kwenda mwanza. Nyumban kabaki yule mpenz...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Have a great weekend dear. Miss you badly.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimefanya uchunguzi na kubaini kuwa wanaume ambao hawana mademu huwa ni wambea kupita kiasi na wachonganishi. Wanaume hao, wakiona mwanaume mwenzake kafanya kitu wanaenda kumwambia demu wa...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Wakati mwingine ni bora uwe mwenyewe{mpweke},vlakini mwenye furaha kama mimi kuliko kuwa na mwenzi wako(mpenzi), alafu kila siku maumivu mpaka unakosa raha. Haujachelewa unaweza kuwa kama mimi na...
3 Reactions
79 Replies
9K Views
Tuko watu tuna tabia ya kuchukua waume za watu na wake za watu! Na tunafikia mahali tunajivuna na kujipigapiga vifua kwamba! Hakuna mwanaume au mwanamke unayeshindwa kumpata ukimtaka! Sababu...
6 Reactions
43 Replies
6K Views
Wengi wanamaliza haja ndogo tu na kuvaa bila hata kunawa, upesi upesi kama wanakimbizwa; matokeo yake nguo za ndani zinabaki na mikojo then kuleta harufu za ajabu ajabu. Mtu ni afya, mnawe mara...
9 Reactions
192 Replies
20K Views
Mpole sana, Boflo na Blaine. Ni kitambo wamepotea tena kwa pamoja hivi. Anybody mwenye taarifa zao?
1 Reactions
49 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, wadau & mabest wote hapa JF. Mimi ni kijana wa kiume miaka ishirini na kadhaa hivi, nimekuwa nikibahatika kupata wasichana warembo waliokamilika kila idara ya mvuto haswa ule...
0 Reactions
96 Replies
8K Views
Mimi niko kwenye basi morro-Mwanza je wapi naweza pata kamchepuko huko mwanza?. NITA KAA SIKU MBILI. Jamani nisaidie niko hoi wapendwa.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari zenu bandugu. Sio siri niweke wazi kwamba kuna baadhi ya mademu wanapenda kupiga kelele kupita kiasi wakati wa kungonoka. Inafikia hatua mzee mzima unakosa raha unahisi majirani...
1 Reactions
122 Replies
15K Views
Hello ... Ni mwaka wa tano sasa tangu nianze maisha mapya nikiwa mama mwenye mtoto wa kiume wa miaka tano, Namshukuru Mungu baba yake amekua mstari wa mbele kumhudumia wheneva he is needed...
0 Reactions
190 Replies
18K Views
Utakuta mtu anaacha mtu mstaarabu na anaishia na mwanaume asiyekuwa na mwelekeo 'be show' na vurugu za hapa na pale. Kwanini huwa hivi?
0 Reactions
683 Replies
96K Views
Habarini waungwana mabestito wangu wa ukweeeeee!!! Hali ya kutokujijali au kujipenda hujitokeza pale ambapo mtu amekata tamaa sana au pale ambapo unajiachia pasipo kuona kuwa wewe u wa thamani...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…