Je kuna sababu ya kumuonea wiv mwanamke ambaye hujamkuta bikra? (si maanishi mke)
Je wewe ni bikra?
Akili za kijinga hizi.
Mbona km inakuuma?
We unaonaje?Je kuna sababu ya kumuonea wivu mwanamke ambaye hujamkuta bikra? (si maanishi mke)
We unaonaje?
Za kijinga lkn zina ukweli ndan yake!
Je kuna sababu ya kumuonea wivu mwanamke ambaye hujamkuta bikra? (si maanishi mke)
We unaonaje?
anaona ale na wenzie jinga sana hili mtoa mada
Bikra ni nn??
Wivu ni nn??
Mapenzi ni nn??
Jiongezee @J wawatu
Sasa kama unamuonea wivu kwa nini upo naye?
swal umuonee wivu kwan umemzaa wewe????