wapi nitapata sehemu ya muchepuko?

wapi nitapata sehemu ya muchepuko?

Calamity

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2013
Posts
856
Reaction score
47
Mimi niko kwenye basi morro-Mwanza je wapi naweza pata kamchepuko huko mwanza?. NITA KAA SIKU MBILI.
Jamani nisaidie niko hoi wapendwa.
 
Mimi niko kwenye basi morro-Mwanza je wapi naweza pata kamchepuko huko mwanza?. NITA KAA SIKU MBILI.
Kazi kweli kweli,michepuko ipo kila sehemu wala sio swala la kuuliza ama ndio mara yako ya kwanza kupata ka upenyo?
 
Hako kambouo hakawezi kukaa hizo siku mbili bila kufanya?
nenda mwanza hotel, villa park....
 
Nibora kusema nisaidiwe marayangu ya kwanza kufika mwanza.
 
Mimi niko kwenye basi morro-Mwanza je wapi naweza pata kamchepuko huko mwanza?. NITA KAA SIKU MBILI.
Jamani nisaidie niko hoi wapendwa.

Hilo basi la Moro - Mwanza linalosafiri usiku wote huu ni basi gani tena?
 
Naelekea kufika mkuu ila naenda sehemu za Igoma.
 
Jina lako kwa kiswahili ni "majanga"sasa chungu huo mchepuko unaohutaka usiwe majanga!!!!!
 
Back
Top Bottom