Naomba serikali iwape utaratibu mzuri maana wamekuwa suluhisho kubwa sana la hili tatizo la ubakaji.
Hata hivyo vurugu kwenye miji ya watu imepungua sana. Wa baba wengi wamepunguza kugongea kwa...
Ni shuhudia mara nyingi tu. Mwanamke unamtongoza na kumvizia muda mrefu lakini kila ukimuomba jibu anakataa. Anasema hataki, unaamua kumpotezea, wakati umeshaanza kumsahau na kukata tamaa unakuta...
Habari zenu wakubwa....
Rafiki yangu amekuja kuniomba ushauri, tatizo linalomsumbua ni kwamba yeye amechumbiwa na anatarajia kufunga ndoa na huyo mchumba ake...ila tatizo ni kwamba ndugu na...
Over time I've discovered there is no absolute finish line for everyone in the race of life.
Our tracks are different and our durations are different. The only thing we have in common is the...
Kama miaka mitatu katika jiji la Mwanza walikozaliwa na kukulia ndipo mahusiano yao yalianza. Wakawa wanapendana kwa dhati, mwanaume akijua kapendwa na mwanamke chaguo la moyo wake.
Siku...
za asubuhi wana MMU.
Jamani kuna hizi tabia mwenzenu zinanikwaza sana .
1.unakuta mchana kweupe msichana anatembea na kanga moja kupita pita maeneo ya kwao mara yupo jikoni mara kapita kwenye...
Kwanini udhalilike kwa sababu ya mapenzi?
Kwanini uwe mtumwa wa penzi?
Kwanini ushinde unalia kutwa nzima kwa ajili ya mtu ambaye hata hakuwahi kupoteza hata sekunde moja kukufikiria?
Kwanini...
Habari wana jamvi !!! Huu ni mkasa wa kweli kabisa na nipo njia panda mpaka sahivi sijui cha kufanya. Nipo kwenye mahusiano na mtoto mkali kweli wa kichaga na tunapendana sana, tumekuwa na mipango...
Naamini mko salama wapendwa
Nna tatizo moja nina mpenz wangu ambaye Mungu akipenda nafkiria awe baba watoto
Tatizo alonalo ni matumizi mabaya ya pesa,yani anaweza tumia hata laki 5 kwa siku...
Polisi nchini Uturuki wanamshikilia baba mwenye miaka 49 kwa kosa la Kumpiga kijana aliyemfumania akioga na Binti yake kwenye nyumba ya baba huyo. Jamaa anashitakiwa kwa kosa la Kushambulia na...
Eti mdada akiwa na vidole virefu halafu vyembamba vya miguuni na mikononi basi na Puchi inakuwa ni ya masafa marefu halafu haijajaa nyama.
Akiwa na vidole vinene halafu virefu basi ujue mzigo...
Niko mbele wana MMU kwa heshima na tadhima najua wengi mna ufahamu kuhusu hili. Nasikia katika tendo la ngono mwanamke ndiye anaepata raha zaidi, je hili ni kweli?. Kama kweli raha zaidi anapata...
Kuanzia leo sitachangia harusi ya kilokole zaidi ya buku ishirini.
Siwezi changia laki halafu niishie kupewa juisi ya azam na soda,..huu ni wizi mtupu!
hivi wanaume tungekuwa tunaweza kujizaa kama wale kuku wa nyama wasio na jogoo bila kiumbe mwanamke
waliosoma bording za boys tupu wanaelewa
sox inasimama ,jeans ukikunja inavunjika kisa uchafu...
Yaani unaweza kuwa unamtania mtu wala huna mpango nae yeye anakubali hapo hapo tena anaanza kukusumbua na tafadhali nipigie na kubipu kusikokwisha au wanaume tumekua wachache sasa siku hiyo hiyo...
:wadau mm ni kijana mwnye asili ya kiarabu.kama mnavyo jua ujana maji ya moto kuna umri ukifka lazma uwe na beiby ili life lisonge tatzo nililo nalo nikwamba kila msichana ninae mtongoza ana nipga...
nataka tu kuspend na mrembo yeyote wa MMU just for two days,ila mambo mengine si ulazima just to have fun,nataka kuenjoy tu dats all am serious,nimetaja hela ujue tu nina shingapi kwa hiyo out