The End..
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 4,362
- 3,846
za asubuhi wana MMU.
Jamani kuna hizi tabia mwenzenu zinanikwaza sana .
1.unakuta mchana kweupe msichana anatembea na kanga moja kupita pita maeneo ya kwao mara yupo jikoni mara kapita kwenye korido mara huyo gheto anauliza una cd mpya ya kibongo!!! tena akitoka kuoga si unajua anakuwa amelowa kote baasi hapo ndo atataka akutoe roho!!!
2.msichana unapanga nae ahadi peke yake ila siku ya kukutana anakuja na kundi la marafiki zake ili akutie hasara sijui ndo tunakomoana!!!
3.upande wa wavulana kwenye daladala unakuta kama mmesimama basi atamsogelea msichana mpaka am'bambie kwa nyuma sijui huwa hawanaga mademu watu hawa!!!
badilikeni wadau huu si uungwana Kabisa !View attachment 179806View attachment 179806