jamani nakiela kidogo hapa kama 500000tshs

jamani nakiela kidogo hapa kama 500000tshs

Status
Not open for further replies.

REALITY

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
4,391
Reaction score
1,966
nataka tu kuspend na mrembo yeyote wa MMU just for two days,ila mambo mengine si ulazima just to have fun,nataka kuenjoy tu dats all am serious,nimetaja hela ujue tu nina shingapi kwa hiyo out
 
Tukutane koko bichi kwa mishkaki na mihogo, tukishushia na azam kola raha mstarehe.
 
Mpelekee bibi yako kijijini anamatatizo bora utapata dua zake watoto wa mjini utawaweza wewe na kilakitano chako wakati hiyo ni pesa ya usafiri
 
Mpelekee bibi yako kijijini anamatatizo bora utapata dua zake watoto wa mjini utawaweza wewe na kilakitano chako wakati hiyo ni pesa ya usafiri

unawazimu si bure bibi yangu anakulisha wewe na basha wako
 
iyo laki 5 kanunue ma-aple ukawagawie wagonjwa Amana hospital mbona utainjoy vya ktosha!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom