Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,360
Ni shuhudia mara nyingi tu. Mwanamke unamtongoza na kumvizia muda mrefu lakini kila ukimuomba jibu anakataa. Anasema hataki, unaamua kumpotezea, wakati umeshaanza kumsahau na kukata tamaa unakuta ndio anajileta.
Kwanini mfanye hivyo?
Ivi mnadhani me akikutongoza na kumkatisha tamaa ndio hana muda wa kujaribu kwa wengine?
Hahahahahahahaaaa! Kwa kweli mnafurahisha na kuskitisha. Nakumbuka kuna friend wangu alikaa muda mrefu bila kuwa na mpenzi, nakumbuka aliahidi kutumia wiki mbili kwa kutongoza tu, alifanya hivyo kwa kila ke aliemkalia sawa.
Wiki mbili zilipita hakumpata yoyote. Tukasema anagundu. Mwee baada ya miezi miwili akapokea maombi matatu ya kutakiwa kimapenzi na wale aliowatongoza ktk zile wiki mbili.
Au mnakuwa mmeshapigwa kibuti na hao wapenzi wenu?