mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,313
- 56,012
hivi wanaume tungekuwa tunaweza kujizaa kama wale kuku wa nyama wasio na jogoo bila kiumbe mwanamke
waliosoma bording za boys tupu wanaelewa
sox inasimama ,jeans ukikunja inavunjika kisa uchafu
simu tungetumia kitochi
najua kuna watu wamenunua magari mazuri sababu ya kuwavutia wanawake
wanavaa vizuri sababu ya wanawake
wanatafuta pesa sababu ya wanawake
maisha bila wanawake