Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu? Jamani nina rafiki yangu alikuwa na mchumba wake ambae walikuwa wanapendana sana na walikuwa wameahidiana kuja kuoana. Muda ulipofika yule mwanaume alienda kuwaambia wazazi wake...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kutoka fb page ya mshikaji wangu Muruswad, leo ameandika hivi! ETI MADADA NA HILI NAWASINGIZIA AU: Kadri Mbinu zao zinavyozidi kujulikana ndivyo na wao wanavyobadili mbinu na kuja na New Models...
13 Reactions
85 Replies
9K Views
Kifupi naomba nikushirikishe jambo hili nilikuwa kwenye mahusiano na binti mmoja kipindi hicho nipo chuo mwaka wa kwanza mpaka mwaka huu almost four years. NilijitahidI kumtimizia kila nilichoweza...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Thursday, September 24, 2009 5:36 AM Kama siku utaamua kutembelea Japan na hauna rafiki yoyote unayemjua nchini humo usitie shaka hata kidogo kwani kuna makampuni mengi yanayotoa marafiki feki wa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Every thing in the world need one to be complete. The real man needs a woman to be a man. If you donot have a woman kila siku uta sumbuka. Mwanamke atakufariji na kukupa nguvu ya kusonga mbele...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Hi good people!, am baaaack!,did you miss me?!...lol! Naanza, na nimesema BAADHI ya wanaume(well,mostly) wasiowajibika but, am not touching Finance, naongelea kutowajibika kitabia. Wale wasochoka...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Wanajamii na marafiki zetu wote, Mpenzi wangu shansarie anaumwa! She got some problems to her Ears, Prayers from you and wishes will be helpful to her. Get well soon Mke wangu. I love you sana,
7 Reactions
156 Replies
13K Views
Habiri wakuu, Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka isiyozidi 25 lakini haipo chini ya 21. Natafuta rafiki wa kike mwenye Umri usiopungua miaka 20 but usizidi miaka 35. Awe anapenda kusocialize...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Salam. Jamani mimi sijielewi,sijui nimekuaje kwa kweli,sasa naanza kuamini kuna uchawi wa mapenzi. Kwa ufupi,kuna binti nilianza nae mahusiano miaka 2 iliyopita,ilikua ni one night stand. Huyu...
0 Reactions
118 Replies
12K Views
Jaribu kila siku kukaa mwenyewe sehemu tulivu ,ongea kwa kumaanisha na kuamini. Mfano popote ulipo nakupenda sana na najua unanipenda sana, huwa nakuwaza sana na napenda tuwe pamoja siku zote...
1 Reactions
88 Replies
8K Views
Kiswahil hakijakaa kimahaba kabisa mfano mimi dame akanambia mpenzi nakupenda namona mwizi tu hana lolote. Kwa ufupi kswahili acheni watumie askari na jeshi sio katika mapenzi lakini English...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Hii picha haihusiani na habari hii..................... Inaniumiza sana kuikumbuka, hasa kuisimulia, lakini nimeambiwa kuwa, kwa kusema jambo hili wazi, naweza kupata nafuu. Hata hivyo naamini...
12 Reactions
47 Replies
8K Views
Jamani kinadada mliopata nafasi yakusoma hii thread, kuweni makini kwenye mahusiano yenu, jitahidini kuchunguza ni nani ana pendo la dhati kwako, pesa zipo tuu lakini mapenzi ya kweli ndio kila...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
He who roughs first roughs longest What goes around comes around An empty sack never stands up right
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Miongoni mwa vitu ambavyo vinaharibu ndoa ni mapishi japo wanawake wengi huwa hawatilii maanani. Kuna wanawake hata kupika hawajui siku hizi yaani chakula kikiletwa mezani unatamani ule tonge...
9 Reactions
211 Replies
18K Views
Habarini waungwana Leo napenda japo kwa ufupi niwashangae wanaume wenzangu ambao wanakuwa na pupa kunako 6x6 na kusababisha mateso kwa dada zetu hivi kwanini mwanaume mzima unakuwa na haraka ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Inasemekana kuna kabila moja nchini kenya wanawake huwa wanawanyanyasa na kuwapiga wanaume zao.na hii picha ni ya mmoja wa wanaume ambaye amekutana na ukatili wa mke wake....jewanawake wa tanzania...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wasalaam. Tangu niwe mtu mzima sijawahi kusikia mapenzi yamekamilika. Kila siku nasikia visa vya kimapenzi, huyu kanywa sumu, huyu kamchinja mpenzi wake, huyu anafurahia mapenzi, huyu analia...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Unakuta mwanaume mwenye mindevu yake tena anajenga bifu na mshikaji kisa mwanamke..... hivi hii ni akili au tope kama umetongoza ukakataliwa mwenzio akakubaliwa sasa bifu la nini ulitaka utongozwe...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mujini kuna mengi tusiyoyajua. Nimeiskia kwa watu kama watatu sasa. Mdada anakuwa na boyfriend na anakuwa na mchumba. Sasa ikiwa bado kama wiki moja akafunge ndoa anaenda kwa boyfriend eti kupiga...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…