Eti madada na hili nawasingizia?

Eti madada na hili nawasingizia?

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,440
Reaction score
38,437
kutoka fb page ya mshikaji wangu Muruswad, leo ameandika hivi!

ETI MADADA NA HILI NAWASINGIZIA AU:

Kadri Mbinu zao zinavyozidi kujulikana ndivyo na wao wanavyobadili mbinu na kuja na New Models za kufikisha Ujumbe
WANAITWA WANAWAKE

Ile style yao ya Bebi naomba Laki 3 nna shida ntakurudishia after 1 week ilifeli..Ikaja ya Baby naomba Laki 1 ya Saluni nayo ime-expire...SASA WANA MUPYAAAA,Bado inanukia Upya kama Telegram...


Unakutana na demu,baada ya Wiki 2 anakwambia Birthday yake imekaribia na Hana Hela..Ukimuuliza lini Bday yako anakwambia This Weekend Baby..Unamwambia sawa.Ukizingatia ndo mmeanza-anza hata uvungu hujapewa,kila kitu unajibu Yes kama Questionnaire ya uchumba.

Profile yake ya Facebook inaonyesha Birthday yake ni November 22....Birthday aliyokupiga mzinga ni February 15..Sasa unajiuliza huyu mwenzetu ana Birthday 2 kwa Mwaka??

Na ukimpa hiyo hela hata Birthday hutaalikwa,utaambiwa tu Baby,Ndo naenda kwenye Birthday tunafanyia huku kwa Bamkubwa huku Mbweni,tuko na shangazi yangu wa Hombolo na Wajomba zangu wale wa Ihumwa wamekuja...Ukitajiwa Bamkubwa hutakuwa na hamu hata ya kwenda.MZINGA SUCCESSFUL..

Na huo mzinga wa Birthday anakuwa kawatumia MSG Wanaume kama 20 hivi,10 wakimpa hata utwente flani,tayari ana laki 2,unashangaa demu hana kazi,ndo anasubiria majibu ya Form 6 lakini ana Note 3 mpya,we unakazana kunyonga tai kurukia DCM za Keko deile na kikwapa juu na mshahara wako wa benki una Nokia Asha button zimechokaaaaaa

ENDELEENI KUTUKOMESHA....

Demu una Birthday 3 kwa mwaka?mi nakuchora tu,au mwenzetu ulizaliwa kwa mafungu,February Kichwa...June Kiwiliwili...November Miguu"
 
we slim5 si ushaoa wewe?hizo aina mpya za waanwake kuombea hela umezitolea wapi?au ndo mchepuko?
 
Last edited by a moderator:
we slim5 si ushaoa wewe?hizo aina mpya za waanwake kuombea hela umezitolea wapi?au ndo mchepuko?

kutoka fb page ya mshikaji wangu Muruswad, leo ameandika hivi! ETI MADADA NA HILI NAWASINGIZIA AU: Kadri Mbinu zao zinavyozidi kujulikana ndivyo na wao wanavyobadili mbinu na kuja na New Models za kufikisha Ujumbe
WANAITWA WANAWAKE, Ile style yao ya Bebi naomba Laki 3 nna shida ntakurudishia after 1 week ilifeli..Ikaja ya Baby naomba Laki 1 ya Saluni nayo ime-expire...SASA WANA MUPYAAAA,Bado inanukia Upya kama Telegram...
 
Last edited by a moderator:
Weeh saka mahela bwana, acha kujistress na mizinga midogo midogo. Wanawake wazuri wote utaishia kuwaita shemeji hehehe, shauri yako!
wee una balaaa, daaah! King'asti tuonee huruma, niache kidogo tafadhali! aaaah! aaaah! aaaah! aaaah! aaaah!
 
Last edited by a moderator:
Weeh saka mahela bwana, acha kujistress na mizinga midogo midogo. Wanawake wazuri wote utaishia kuwaita shemeji hehehe, shauri yako!

bonge la ushauri, feat. friday class! wanawake wazuri wote ntaishia kuwaita ....... daah huyu mtoto King'asti huyu!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa maneno yako yamenichoma cjui kwasabab nna hako katabia.....wanaume mmezid ubahil tusipo danganya ivo mnatusahauu aghaaa
 
tehe tehe tehe tehe tehe kweli hii style kali
 
Demu una Birthday 3 kwa mwaka?mi nakuchora tu,au mwenzetu ulizaliwa kwa mafungu,February Kichwa...June Kiwiliwili...November Miguu"[/QUOTE]

hahahahaha hii nimeipenda.... ma dada duu wetu hao
 
Back
Top Bottom