Katika watu waliowahi kuumizwa kwenye mapenzi mimi ni miongoni mwao leo katika kutafakari nimesoma andiko hapa nimegundua moyo wangu ulinidanganya sana.
Kujitambua ni suala muhimu sana sikujua kama moyo wa mtu unaweza kumdanganya na kumpeleka kwenye matatizo huku ukimwambia kila kitu ni sawa,sishauri uusikilize moyo kuamua jambo lolote tuangalie maandiko matakatifu hapo chini kutoka kwenye Biblia sijawahi soma Quran lakini nadhani itakuwa pia na maneno haya.
Yeremia 17:9-10 Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote,una ugonjwa wa kufisha;nani awezaye kuujua?10 Mimi,BWANA,nauchunguza moyo,navijaribu viuno,hata kumpa kila mtu kiasi cha njia zake;kiasi cha matunda ya matendo yake.
Sasa kama moyo wako unaweza kukudanganya mtu mwingine itakuwaje?TAFAKARI NA TUMIA AKILI KWENYE MAPENZI NA SIO MOYO WAKO.Pole sana.