Wana JF tuboreshe jukwaa letu la MMU kwa kujadili mada zinazosaidia wenzetu .
Mimi nilikuwa mtumishi wa serikali lakini mme wangu bado ni mfanyakazi tena wale wa kipato cha juu sana.
Tangu...
Watu wengi wanapotaka kuoa huwa wanatoa kipaumbele kikubwa kwenye tabia ya yule anaetaka kumuoa, hata kama yeye hana tabia nzuri, hilo huwa muoaji hajali kabisa, lakini katika research yangu...
kuna dada nilimpenda baadae akanisalti akaolewa na jamaa mwingne amezaa naye mtoto akamtelekeza sasa kila siku ananipigia simu na kunibembeleza turudiane.ushauri wenu waungwana!
Mm ni mwanaume mwenye umri wa miaka 42,natafuta mwanamke mwenye jinsia mbili(shemale)awe mke wangu wa maisha,nina dhamira ya kweli na nipo serious kwa hili napenda kuoa mwanamke mwenye jinsia...
Habarini
Awali ya yote napenda kuwasabahi kwa maneno yenye munyu na bashasha la kimvuto ndani yake.
Kabla sijaingia ndani zaidi ngoja mpate andiko hiili kwanza:
Mithali 19:14 "Nyumba Na Mali...
Ndugu wadau wa JF,
Kuna demu wa humu MMU ana nia mbaya na mimi, juzi kanipigia simu na kunieleza eti kwamba ana mimba yangu.
Binafsi nilipata mshangao na kumuuliza baadhi ya maswali, akaishia...
Hi Guys.
MMU ni kioo cha kujitazama, kujikosoa na kujisahihisha, lakini pia elimu na burudani. Mada hii ni kwa wanaume lakini wanawake wanaweza kufafanua au kuweka sawa mambo na kutupa uzoefu...
Jamani nina swali, mke wa rafiki yangu kapata simu imepigwa kwenye simu ya mumewe na na text message kutoka kwa family friend.
Katika family friend huyo kuna binti naye alitumia address ya...
I managed to move on with my life na mtoto wangu, so far we are doing good even without him.
Nilifikiri sitaweza ila na mshukuru mungu nimeweza na nina furaha mtoto mtamu kweli.
Sina msaada...
Nmeweka uzi naona wenye viherehere wameufuta mbona tunavopondewa wanawake nyuzi za wanaume hawazifuti........ tuachane na hayoo.........npo hapa nata nijibizane kwa hoja na mhusika wa uzi ambao...
SABABU ZINAZOMPELEKEA MWANAMKE KUTOOLEWA NA WANAUME KUTOOA HA
TA KAMA WANAPENDA,
Hii ni special kwa wale ambao hatujaoa ama kuolewa na tunapenda sana iwe hvyo ,zifuatazo ni baadh ya sababu hzo...
Amini usiamini nilishuhudia mwenyewe kisa hiki.
Ilikuwa ni familia yenye furaha, mshikamano, na maendeleo ya pamoja. Mume alikuwa mfanyazi wa shirika moja nyeti na kongwe hapa nchini. Watoto wa...
Kuna thread iliyotikisa usiku wa Jana mpaka muda huu ihusuyo wachumba wa JF. Mhanga wa hiyo habari ameamua kuvunja ukimya na kuweka kila kitu hadharani kwa masahibu aliyokutana nayo kwa wachumba...
jamani duniani pote kauli mbiu iliopo ukimwelimisha mwanamke umeelimisha jamii zima ndivyo tunavyo jua na pia ukitaka mapinduzi ya kweli anza na wanawake kwanza wana convicing power ya kutosha...
Between 18 and 22, a woman is like Africa half discovered, half wild, fertile and naturally beautiful!
Between 23 and 30, a woman is likeEurope well-developed and open to trade, especially for...
Ndugu zanguni wana JF, natumaini nyote ni wazima wa afya!
Juzi, nilikua na maongezi ya muda mrefu na mfanyakazi mwenzangu. Katika maongezi, nikagundua kwamba yeye, kama nilivyo mimi, anaumia...