Nipo tayari kuingia sasa

Manun'guniko

Senior Member
Jul 23, 2014
155
59
Habar zenu waAfrika kamili.

Kwa kifupi mimi ni mzima kabisa yaani sijui niseme nini kwa kweli nashukuru kichwa kimepona japo kilikuwa kinauma kwa mbali.

Sijaja humu kwa salamu tu kwa sababu nitaishia kukosolewa lengo kuu ni kuhusu mahusiano nilikuwa naogopa kuingia katika mapenzi kwa sababu yameumiza asilimia kubwa ya watu sasa nimen'gamua akili yangu na sasa nipo tayari kuingia katika mahusiano sasa jambo la msingi nataka tuwe pamoja katika ushauri pale nitakapoleta uzi wa masikitiko na wa furaha.

Kwasababu kuna watu wameshaanza kuninyemelea najua kuna wakweli na waongo niombeeni nisilie kama watu wengine bali niwe nafuraha katika mapenzi kama baadhi ya watu wengine.

Haya jamani nimemaliza sitaki kukosolewa na kukosolewa ni vibaya sana

Nawapendeni wote japo siwajui.
 
Ndo jiandae kwa yote pia. Kuna siku za kulia na za kucheka pia. Kila la kheri

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Habar zenu waafrica kamili***kwa kiufupi mi mzima kabisa yan cjui niseme nn kwa kwel nashukuru kakichwa kamepona japo kalikuwa kanauma kwa mbaaaali.....ila sijaja humu kwa salamu tu kwa sababu nitaishia kukosolewa lengo kuu ni kuhusu mahusiano nilikuwa naogopa kuingia ktk mapenzi kwasababu yameumiza asilimia kubwa ya watu sasa nimen'gamua akili yangu na sasa nipo tayari kuingia ktk mahusiano sasa jambo la msingi nataka tuwe pamoja ktk ushauri pale nitakapoleta uzi wa masikitiko na wa furaha kwasababu kunawatu wameshaanza kuninyemerea najua kuna wakwel na waongo niombeeni nisilie kama watu wengine bali niwenafuraha ktk mapenzi kama baadhi ya watu wengne...haya jaman nimemaliza sitaki kukosolewa kukosolewa ni vibaya sana mmwaaaah nawapendeni wote japo siwajui.

Hongera sana. Nawe uwe Tayari kukabiliana na mazuri na mabaya yatakayojitokeza ili mwisho wa siku uufurahie ushindi.
 
Back
Top Bottom